Cassnzoba
JF-Expert Member
- Feb 26, 2022
- 3,661
- 6,913
Msaidie kama kuna namna aweze kukwepa hiyo kituNaunga mkono hoja kijana kadukuliwa huyo na ile app
Ya kulipia kutrack sms
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msaidie kama kuna namna aweze kukwepa hiyo kituNaunga mkono hoja kijana kadukuliwa huyo na ile app
Ya kulipia kutrack sms
Abadilishe namba ya simu na email yake na a factory reset simu yakeMsaidie kama kuna namna aweze kukwepa hiyo kitu
Sawasawa mkuu mtoa mada atakuwa kaelewaAbadilishe namba ya simu na email yake
Mdukuo huo aiseeJamani naomba msaada hii naona kama imekaa vibaya sana kwangu, iliwahi kua hivi wakati flani, nlikua nkipigiwa simu, moja kwa moja anapokea mpenzi nliekua nae, nkawa naambiwa ila sikuzingatia maana nilijua haiwezekani, ila hili swala limejitokeza tena, mwanamke nlienae sasa hivi nae anasoma meseji zangu na ananitumia.... tunaishi mbali mbali ko inanichanganya inakuaje meseji zangu na kwake zinaenda, na hii imenitokea jana usiku, naomba msaada wakuu
Hiyo device unayotumia ulinunua mwenyewe dukani au alinunua yeye na kukupa kama zawadi? Nadhani tuanzie hapo.Jamani naomba msaada hii naona kama imekaa vibaya sana kwangu, iliwahi kua hivi wakati flani, nlikua nkipigiwa simu, moja kwa moja anapokea mpenzi nliekua nae, nkawa naambiwa ila sikuzingatia maana nilijua haiwezekani, ila hili swala limejitokeza tena, mwanamke nlienae sasa hivi nae anasoma meseji zangu na ananitumia.... tunaishi mbali mbali ko inanichanganya inakuaje meseji zangu na kwake zinaenda, na hii imenitokea jana usiku, naomba msaada wakuu
Ni ka app gani hako kaka? Ebu tupe ujuzi nasisi tuweze kudukuaSema kale ka app flani chonganishi kale ni afu thalatini yako tu chap unatumiwa kila kitu mpaka akibipiwa inakwambia hapa kanipiwa hajapigiwa , shwaain
Hahaha aliekufa hapo ni nani?R.I.P
uyo dem proxy ima kapewa no na mwanamke wako akuzngue umejaa au mwanamke wako ana line nyingne anakubadlishia saut anakuchezea chakufanya hapo mkatie uyo mwngne kopiJamani naomba msaada hii naona kama imekaa vibaya sana kwangu, iliwahi kua hivi wakati flani, nlikua nkipigiwa simu, moja kwa moja anapokea mpenzi nliekua nae, nkawa naambiwa ila sikuzingatia maana nilijua haiwezekani, ila hili swala limejitokeza tena, mwanamke nlienae sasa hivi nae anasoma meseji zangu na ananitumia.... tunaishi mbali mbali ko inanichanganya inakuaje meseji zangu na kwake zinaenda, na hii imenitokea jana usiku, naomba msaada wakuu
Ngoj ni restoreKuna njia mbili za haraka.
1. Factory Reset. Utapoteza vitu na simu itaanza upya. Hii ni njia ya haraka kwa ambae sio mtaalamu wa simu.
2. Ingia settings halafu apps, sort app list yako kwa downloaded. Angalia app ambayo hukumbuki kuwa kuidownload iondoe.
Apps za kutrack simu mara nyingi zikiwa installed huwa zinatumia majina ya kijanja kidogo ambayo kwa mtu ambae sio mtaalamu wa simu zinaweza kukuzingua kidogo.
Pia kuna njia ya muda. Zuia background data. Hizi apps zinarud background na zinategemea bando lako kwa ajili ya kutuma taarifa.
Uyo demua apigwe chini..Hapo amekuwekea spy app kwenye hiyo simu yako au tunaweza sema amehack ngoja nikuitie wataalamu waje kukusaidia
Rayns Mad Max na Vincenzo Jr mje mumsaidie huyu mwamba hapa
Hii sim ni yangu, na mara kadhaa nakua nay mm, ila juz ndo nlimpa mda mchache bdae nkachukua...sas usiku wa kuamkia leo, nlikua nachat na mwingn ko akanambia ila bdae akatum mpk mesej zotHiyo device unayotumia ulinunua mwenyewe dukani au alinunua yeye na kukupa kama zawadi? Nadhani tuanzie hapo.
Kwani kuna App fulani ikiingizwa kwenye simu huwa inajificha, na kazi yake ni kupeleka taarifa kwenye email iliyounganishwa nayo.
Taarifa inazopeleka ni mawasiliano yoyote yanayofanywa katika hiyo simu, pia hutuma picha mara kwa mara za kamera ya selfie.
Kwa ushauri, badilisha simu.
Ova
Mwache aone anachokitaka