Naomba msaada, kuna muda nachat na mtu mwingine ila naambiwa na mpenzi wangu kila tunachochat

flynn05

Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
63
Reaction score
93
Jamani naomba msaada hii naona kama imekaa vibaya sana kwangu, iliwahi kuwa hivi wakati flani, nilikuwa nakipigiwa simu, moja kwa moja anapokea mpenzi niliyekua nae, nikawa naambiwa ila sikuzingatia maana nilijua haiwezekani, ila hili swala limejitokeza tena, mwanamke nilienae sasa hivi nae anasoma meseji zangu na ananitumia.

Tunaishi mbali mbali so inanichanganya inakuaje meseji zangu na kwake zinaenda, na hii imenitokea jana usiku, naomba msaada wakuu.
 
Amekudukua, badili line
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…