Naomba msaada, kuna muda nachat na mtu mwingine ila naambiwa na mpenzi wangu kila tunachochat

Kuna njia mbili za haraka.

1. Factory Reset. Utapoteza vitu na simu itaanza upya. Hii ni njia ya haraka kwa ambae sio mtaalamu wa simu.

2. Ingia settings halafu apps, sort app list yako kwa downloaded. Angalia app ambayo hukumbuki kuwa kuidownload iondoe.

Apps za kutrack simu mara nyingi zikiwa installed huwa zinatumia majina ya kijanja kidogo ambayo kwa mtu ambae sio mtaalamu wa simu zinaweza kukuzingua kidogo.

Pia kuna njia ya muda. Zuia background data. Hizi apps zinarun background na zinategemea bando lako kwa ajili ya kutuma taarifa.
 
Mdukuo huo aisee
 
Hiyo device unayotumia ulinunua mwenyewe dukani au alinunua yeye na kukupa kama zawadi? Nadhani tuanzie hapo.

Kwani kuna App fulani ikiingizwa kwenye simu huwa inajificha, na kazi yake ni kupeleka taarifa kwenye email iliyounganishwa nayo.

Taarifa inazopeleka ni mawasiliano yoyote yanayofanywa katika hiyo simu, pia hutuma picha mara kwa mara za kamera ya selfie.

Kwa ushauri, badilisha simu.

Ova
 
uyo dem proxy ima kapewa no na mwanamke wako akuzngue umejaa au mwanamke wako ana line nyingne anakubadlishia saut anakuchezea chakufanya hapo mkatie uyo mwngne kopi
 
Ngoj ni restore
 
Hii sim ni yangu, na mara kadhaa nakua nay mm, ila juz ndo nlimpa mda mchache bdae nkachukua...sas usiku wa kuamkia leo, nlikua nachat na mwingn ko akanambia ila bdae akatum mpk mesej zot
 

Attachments

  • Screenshot_20240916_141243_Messages.jpg
    40.5 KB · Views: 5
  • Screenshot_20240916_141311_Messages.jpg
    19.6 KB · Views: 4
Jaribu kuangalia device pairing maana hicho kitu kipo kwenye google messages.
Itakuonesha device ambayo na yenyewe inapokea na kutuma meseji.
 
Jee hii app inafanya kazi kwa call na sms za kawaida tu au ht za WhatsApp? Na jee sio kosa kisheria?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…