Naomba msaada kupata hizi article online

Naomba msaada kupata hizi article online

moto2012

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2012
Posts
2,271
Reaction score
1,493
Ninaandika proposal ya research flan (Community/medicine), kila article ninayo-google inakuja vizuri, lakini napata abstract tu, nikitaka kupata full research/reference naambiwa log in au ninunue.

Sina hizo dolari, hivi hakuna njia rahisi/software ya kupakua hivyo vitabu? Kwa mwenye uelewa wa hili jambo naomba msaada, najua JF is the home of GT, sitakosa ufumbuzi

Asanteni sana

moto2012

CC MziziMkavu , Best Kiranga , Mwl.RCT, wife Preta , mshenga King'asti , Braza BAK na wengine wote
 
Nitumie hizo articles nikutafutie. Titles with authors.
 
moto2012


Nitumie title ya hiyo article pamoja na journal...au weka full link.
 
Last edited by a moderator:
moto2012

wewe ni mwanafunzi ? km ndio chuo gn ? Nadhani vyuo vikuu km udsm na out hutoa access password kwa wanafunzi wao wote hasa wa postgraduate, km wewe huna tafuta mwanafunzi yeyote wa vyuo UDSM na OUT
 
Last edited by a moderator:
wewe ni mwanafunzi ? km ndio chuo gn ? Nadhani vyuo vikuu km udsm na out hutoa access password kwa wanafunzi wao wote hasa wa postgraduate, km wewe huna tafuta mwanafunzi yeyote wa vyuo UDSM na OUT

Asante kwa ushauri, barikiwa
 
Hivi unajua mimi nikifanya research nasoma abstract tu inanitosha kuelewa picha yote? Halafu mwisho si kuna references, zinakulead kwenye topics nyingine.

Kuna universities wana free access ila wanapewa code. Ukiongea na waalimu wanaweza kukushauri. Kila la kheri
 
Lazima uombe katika PDF Formart, mfano ,andika:An Analysis of worthiness of Kiswahili as a language of instruction in COLLEGES pdf,utapata full file.
Ukishindwa hiyo omba kwa nfumo wa, ppt,slideshare,scribd,doc, lazima utapata full file or materials
 
King'asti

Kwenye kudefend ndo msala. kudonoa abstract inawezekana ila kwa tahadhari napenda nijue kwa undani. Na bahati mbaya literature/research za hiyo topic kwa Tz sija pata, zipo za Ethiopia, SA, Zambia na Ghana. Full access ni issue. Kibaya zaidi inclination ya chuo na eneo ninalotaka kufanyia research ni tofauti kidogo. Hivyo nahisi vitu viwili vinaweza kutokea, wazee wafunge midomo kwa kutokujua au wapachimbe ili wajue.

Anyway hapa hapaharibiki neno, mwelekeo napata pata kwa comments za wadau. I feel proud to be JF member
 
Last edited by a moderator:
nenda mtandao mmoja wa russia unaitwa libgen huko kuna vitabu vya bure kabisa utadownload mpaka uchoke

Niechemka kudownload hiyo app, baada ya ku-google nikaishia kwenye Alfred 2 app.
 
Back
Top Bottom