moto2012
JF-Expert Member
- Jul 3, 2012
- 2,271
- 1,493
Ninaandika proposal ya research flan (Community/medicine), kila article ninayo-google inakuja vizuri, lakini napata abstract tu, nikitaka kupata full research/reference naambiwa log in au ninunue.
Sina hizo dolari, hivi hakuna njia rahisi/software ya kupakua hivyo vitabu? Kwa mwenye uelewa wa hili jambo naomba msaada, najua JF is the home of GT, sitakosa ufumbuzi
Asanteni sana
moto2012
CC MziziMkavu , Best Kiranga , Mwl.RCT, wife Preta , mshenga King'asti , Braza BAK na wengine wote