Naomba msaada kutafsiriwa hizi dawa

Naomba msaada kutafsiriwa hizi dawa

mkuu sikupingi ila nadhani umechanganya majina. hiyo uliyo itafsiri kama shubiri, aloe vera huo ni mti mwengine kwa kiswahili unaitwa kizima mlio,na hiyo haba soda umesema black cummin la sio hiyo ni black seed. black cummin na black seed ni vitu 2 tofauti.ila sifaham shubiri kwa kizungu inaitwaje.

Ndg ALOE VERA ndio SHUBIRI.
Iwe SHUBIRI MWITU au SHUBIRI zote ni ALOE VERA na zipo aina zaidi ya tano za shubiri
 
mkuu sikupingi ila nadhani umechanganya majina. hiyo uliyo itafsiri kama shubiri, aloe vera huo ni mti mwengine kwa kiswahili unaitwa kizima mlio,na hiyo haba soda umesema black cummin la sio hiyo ni black seed. black cummin na black seed ni vitu 2 tofauti.ila sifaham shubiri kwa kizungu inaitwaje.

Ndg ALOE VERA ndio SHUBIRI.
Iwe SHUBIRI MWITU au SHUBIRI zote ni ALOE VERA na zipo aina zaidi ya tano za shubiri
 
Ndg ALOE VERA ndio SHUBIRI.
Iwe SHUBIRI MWITU au SHUBIRI zote ni ALOE VERA na zipo aina zaidi ya tano za shubiri

[h=3]SHUBIRI - ALOE VERA[/h]
DSC00468.JPG
 
A.aleikhum napata faraja kwakupata hekima zenu za bila choyo mimi mama yangu asumbuliwa sana na sukari ya kupanda hufika mpaka 24 pia bp yake hufika mpaka 240 tulikopita hosp za rufaa zote ni dawa gani za kiarabu atumie
11}ustadhi mzizi tusaidie orodha ya madawa ya kiarabu tunaweza pata wapi kwenye web gani yenye tafisi ya kiswahili
Mkuu Yasini_waziri Mwambie mama atumie Dawa moja kati ya dawa hizi Zitamsaidia.


MARADHI YA KISUKARI:


TIBA 1:
Tafuta vijiko 10 vya chakula (10ml) vya unga wa habbat saudai,Vijiko 6 vya vya chakula (10ml) vya ubani mweupe,Gramu 50 za mvuje, Gramu 50 za shubiri,na gramu 100 za ukwaju.
Changanya dawa hizi na maji lita moja na nusu.Chemsha ibaki lita 1 ya dawa.
Tumia kikombe kimoja cha kahawa (50ml) kutwa mara tatu (1×3) mpaka itakapokwisha.

TIBA 2:

Tafuta ujazo wa sawa kwa sawa wa Habbat saudai,Ubani mweupe,Mvuje,Shubiri,Bakal had,Mani mani,Kuzbara,Kamun as-wad na Uwatu.
Matayarisho yake na matumizi ni kama tiba 1 ya Kisukari.

TIBA 3:
Kila siku kunywa kijiko kimoja (10ml) cha mafuta ya haba soda na ule kitunguu Saumu kimoja .Baada ya hapo kula mbegu za kabichi.

 
MziziMkavu asante sana pamoja mkuu maisha tu ukiona mtu anabisha nikumsamehe unenisaidia sana maana kunasiku nilikuwa nawaza sasa hizi dawa sizijui kwa kingereza nitazipate lakini naona umetusaidia sana nyingine tunazo majumbani mwetu haswa tunaotoka kijijini
 
angalieni pia majina mengine hayo hapo
Black pepper – pilipili manga
Cardamom – iliki
Caraway – Kisibiti
Cilantro – dania (majani ya giligilani)
Cinnamon – Mdalasini
Cloves – karafuu
Coriander seeds – giligilani /Kitimiri
Cumin – binzari ya pilau
curry – binzari
Ginger – Tangawizi
Lemon grass -mchaichai
Nutmeg – kungumanga
Saffron – zafarani
Sweet peppers – pilipili hoho
Turmeric – binzari manjano
 
angalieni pia majina mengine hayo hapo
Black pepper – pilipili manga
Cardamom – iliki
Caraway – Kisibiti
Cilantro – dania (majani ya giligilani)
Cinnamon – Mdalasini
Cloves – karafuu
Coriander seeds – giligilani /Kitimiri
Cumin – binzari ya pilau
curry – binzari
Ginger – Tangawizi
Lemon grass -mchaichai
Nutmeg – kungumanga
Saffron – zafarani
Sweet peppers – pilipili hoho
Turmeric – binzari manjano
Bibie Mwanaweja unaweza kututajia Dawa hii kwa kiingereza (Bakalhadi)?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu MziziMkavu usikasirike kwani kuemilisha inahitaji uvumilivu, upeo na uelewa kwa wanadamu unatofautiana, huenda aliponukuhuu ndipo penye makosa, endelea kutuemilisha hasa kwenye hili suala zima la tiba asilia.
kizimkazi unajuwa mimi ni Mtaalamu wa hizi dawa nina ujuzi nazo sasa yapata miaka 30 tangu mwaka 1979 ninazijuwa na sio hizo tu 5 mimi ninazijuwa zaidi ya Dawa 20 kama hizo zinaitwa Dawa za Kiarabu na asili yake zinatoka india na Uarabuni na baadhi zipo hapo Tanzania na zinatibu maradhi ambayo yameshindikana kutibiwa Mahospitalini kaa Maradhi ya Wendawazimu,Pumu,Kisukari,Kifafa,Ugonjwa wa Kansa,Nguvu za Kiume,Kupata Uzazi kwa mwanamke asieshika Mimba, Ugonjwa wa kiharusi,Ugonjwa wa kupooza mwili upande mmoja,Kukosa usingizi,Mtu mwenye Mapepo wabaya,Marashi ya Moyo,na Ugonjwa wa wasiwasi na maradhi Mengi yasiyotibiwa Mahospitali. Sasa Kizimkazi umenitia Hasira Nakutaji hizo dawa Alizoomba jamaa juu SHUBIRI KWA KIINGEREZA INAITWA ALOE VERA ANGALIA HII PICHA
moz-screenshot-1.png

moz-screenshot.png


Ya pili inaitwa Uwatu kwa Kiingereza inaitwa
(Fenugreek) Angalia picha



NA HIYO INAYOITWA
Habbal sauda KWA KIINGEREZA INAITWA NI black Cumin seed ANGALIA PICHA YAKE CHINI


HAYA NAKUTAFSIRIA NA HIYO INAYOITWA
Manimani KWA LUGHA YA KIINGEREZA INAITWA MYRRH ANGALIA PICHA YAKE HAPO CHINI HIYO Myrrh


HAYA NIMEBAKIZA MOJA INAYOITWA Bakalhadi NDUGU kizimkazi NITAJIE HIYO BAKALHADI KWA KIINGEREZA NA UONYESHE PICHA YAKE? TAFADHALI NINAKUACHIA WEWE HIYO BAKALHADI ASANTENI SANA.

aloe vera picture - Google Search

fenugreek - Google Search


Black cumin Pictures

Myrrh Pictures





 
Last edited by a moderator:
MziziMkavu
Ni ipi njia salama ya kupunguza uzito/obesity ya asili?[/QUOTE]

Njia salama ya kupunguza uzito kitambi na unene fanya mazoezi ya mwili.Tembea sana kwa miguu. kimbia kimbia kila siku asubuhi unapo amka Ruka ruka kwa kamba, kunywa maji ya uvuguvugu uchanganye na Asali safi ya nyuki kijiko 1 kisha unakamulia ndani yake limao1 unakunywa kila siku

asubuhi kabla ya kula kitu . Ukitaka kupunguwa kwa kila mwisho wa mwezi kilo 4 Dawa mimi ninayo ya kukupunguza huo mwili wako kitambi, uzito na unene Hebu tembelea bonyeza hapa.DAWA YA KUPUNGUZA UNENE MAFUTA NA TUMBO



Ukitaka hii Dawa Bonyeza hapa.DAWA YA KUPUNGUZA UNENE MAFUTA NA TUMBO
 
Back
Top Bottom