NZURI PESA
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 5,958
- 2,954
mkuu sikupingi ila nadhani umechanganya majina. hiyo uliyo itafsiri kama shubiri, aloe vera huo ni mti mwengine kwa kiswahili unaitwa kizima mlio,na hiyo haba soda umesema black cummin la sio hiyo ni black seed. black cummin na black seed ni vitu 2 tofauti.ila sifaham shubiri kwa kizungu inaitwaje.
Ndg ALOE VERA ndio SHUBIRI.
Iwe SHUBIRI MWITU au SHUBIRI zote ni ALOE VERA na zipo aina zaidi ya tano za shubiri
