Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Usijuvue nguo hivi hao google account ni ndugu zako hadi kitambulisho Cha NIDA?Nimekuja kwenu wadau natafuta msaada Kuna shida imetokea wakati najaribu kuverify account kama vile wanavyotak nimejaribu kwa kitambulisho cha taifa nida, leseni, bank statement naona wanakataa Google developer sijui wanataka Nini
Msaada account yangu ipo suspension
Msaada kwa mwenye uzoefu
View attachment 3162882