Mtanzatozo
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 971
- 1,165
Wakuu habari za kila siku na majukumu ya utafutaji wa kila siku!
Naomba msaada, ushauri au tiba! mwanangu ana chini ya wiki moja tangu tumpokee☺️ ila anasumbuliwa na kwikwi inayodumu kwa muda kiasi cha mke wangu kuwa na wasiwasi.
Shukrani, nawasilisha.
Title inasema 'chafya' sio kwikwimbona mods mmechange uzi wangu? au ndo nimevamiwa/ mimi nimeandika uzi wa kwikwi nyie mnaandika kwikwi imekuwaje tena..
Mod ndio wanamfahamu mwanae kuliko yeyeNi chafya sio kwikwi wamekurekebisha. Kampeleke hospital
We mwenyewe umechapia😂mbona mods mmechange uzi wangu? au ndo nimevamiwa/ mimi nimeandika uzi wa kwikwi nyie mnaandika kwikwi imekuwaje tena..
MARA YA PILI HII UZI UNABADILISHWA..We mwenyewe umechapia😂
Duu jamani pole sn. Kwahio tatizo la mtoto ni Kwikwi?MARA YA PILI HII UZI UNABADILISHWA..
NDIO.Duu jamani pole sn. Kwahio tatizo la mtoto ni Kwikwi?