mawazoyangu
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 324
- 65
Salam wana jf Dokta.
Tafadhali ninaomba msaada taja hapo juu sina tatizo lolote pia si mtumiaji wa njia zozote za kupanga uzazi lakini tayari nina mtoto mmoja
Ni muda kidogo kama ninapojaribu mambo
huwa hola huenda labda nakosea tarehe husika
wanaojua siku sahihi naomba wanisaidie
pia tarehe za bleed ni kama zifuatazo hapa:-
16.10.2012
14.11.2012
12.12.2012
08.01.2013
05.02.2013
04.03.2013
02.04.2013
Hizi ndiyo tarehe za siku zangu lakini pia natanguliza shukrani kwa wote wataonishauri ili
mwezi huu nijaribu maana mtoto niliye nae ni wa Kike kama hata kuna namna ya kupata wa jinsia nyingine.
Bibie.@mawazoyangu ukitaka kupata mimba jaribu kufanya mapenzi kuanzia Tarehe 13/04 /2013 mpaka Tarehe 17/04 /2013 utapata mimba ukifanya hizo tarehe mapenzi usikose kuja kunipa feedback.Salam wana jf Dokta.
Tafadhali ninaomba msaada taja hapo juu sina tatizo lolote pia si mtumiaji wa njia zozote za kupanga uzazi lakini tayari nina mtoto mmoja
Ni muda kidogo kama ninapojaribu mambo
huwa hola huenda labda nakosea tarehe husika
wanaojua siku sahihi naomba wanisaidie
pia tarehe za bleed ni kama zifuatazo hapa:-
16.10.2012
14.11.2012
12.12.2012
08.01.2013
05.02.2013
04.03.2013
02.04.2013
Hizi ndiyo tarehe za siku zangu lakini pia natanguliza shukrani kwa wote wataonishauri ili
mwezi huu nijaribu maana mtoto niliye nae ni wa Kike kama hata kuna namna ya kupata wa jinsia nyingine.
Mkuu gody tunajitahidi kuwasaidia watu kwa ushauri lakini wakisha fanikiwa huwa hawaji kutupa Feedback wanatuvunja nguvu tutakwenda mwisho hatutakuja kuwapa tena misaada yetu ya mawazo si unawajuwa Wa-Danganyika hawana shukrani.wapi MziziMkavu?
Mkuu The Magnificent Mwambie huyo mwanamke afanye mapenzi kuanzia Tarehe Apr - 10 mpaka 13 atashika mimba inshallah.Ngoja na mimi niungie za huyu ndugu yangu hapa.....nae yupo katika michakato ya kumleta kiumbe mpya duniani...
11.10.2012
08.11.2012
04.12.2012
01.01.2013
28.01.2013
22.02.2013
23.03.2013
Msaada please...
Ahsanteni sana...
The Magnificent
Bibie.@mawazoyangu ukitaka kupata mimba jaribu kufanya mapenzi kuanzia Tarehe 13/04 /2013 mpaka Tarehe 17/04 /2013 utapata mimba ukifanya hizo tarehe mapenzi usikose kuja kunipa feedback.
Mkuu gody tunajitahidi kuwasaidia watu kwa ushauri lakini wakisha fanikiwa huwa hawaji kutupa Feedback wanatuvunja nguvu tutakwenda mwisho hatutakuja kuwapa tena misaada yetu ya mawazo si unawajuwa Wa-Danganyika hawana shukrani.
Hello Mawazoyangu!
Je hizo tarehe ni tarehe za kuanza hedhi au ni tarehe ulizo maliza hedhi? Ni muhimu kujua hilo katika kukusaidia Pia kwa wastani mzungunguko wa hedhi (average length of your cycle) ni siku ngapi? eg. 28, 30 32 etc
Ninavyofahamu siku za kushika mimba ni kama ifuatavyo,siku ya kumi na moja baada ya hedhi,12,13,14,15,16 na 17.Hizo zote zinauwezekano wa kushika mimba lakini siku ya 14 uwezekano ni mkubwa zaidi.
Bibie.@mawazoyangu ukitaka kupata mimba jaribu kufanya mapenzi kuanzia Tarehe 13/04 /2013 mpaka Tarehe 17/04 /2013 utapata mimba ukifanya hizo tarehe mapenzi usikose kuja kunipa feedback.
Mkuu gody tunajitahidi kuwasaidia watu kwa ushauri lakini wakisha fanikiwa huwa hawaji kutupa Feedback wanatuvunja nguvu tutakwenda mwisho hatutakuja kuwapa tena misaada yetu ya mawazo si unawajuwa Wa-Danganyika hawana shukrani.
mzizimkavu hapa umekosea kidogo sijajua umetumia formula gani.
Anyway haya tumekuwa tukielezea mara kwa mara wakati mwingine tuwkumbushe wawe wanakwenda Jf store.
Sasa ukiangalia huyu dada anamzunguko wa siku 28, ili upate danger days au siku za kupata mimba tunatumia kanuni. Coz kumbuka kuna mizunguko ya aina tatu mrefu siku 35, kati siku 28 na mfupi siku 21.
Sasa formula chukua namba ya mzunguko tuseme Y, chukua Y gawanya kwa 2: Y/2 = X kupata siku za mimba zinapoanza chukua
X-5=, kupata siku za hatari zinapoishia chukua X+3=
kwa mzunguko mrefu
Y= 35, 35/2= 18, X= 18,
siku za kuanzia 18-5= 13,
siku za kumaliza 18+3= 21.
Huyu mwenye mzunguko mrefu siku za kupata mimba ni kati ya siku ya 13 hadi siku 21. Reference point ni tangu unapoanza bleeding. Yaani siku ya kuanza bleeding ndo utaanza kuhesabu moja.
Kwa mzunguko wa kati,
Y=28, 28/2= 14,
siku za kuanza 14-5=9,
siku ya kumaliza siku za hatari 14+3=17
kwa kuwa huyu ndo subject wetu bleeding alianza tar 2 ambayo ndo reference point, ukihesabu kuanza tar 2 siku ya 9 inaangukia tarehe 10th April, na inaishia tarehe 18 April. Kwa hiyo siku za kupata mimba ni kati ya tarehe 10 hadi tarehe 18 April. Mbali na hayo hapa mwanaume katika siku ambazo hazihusiki msifanye mapenzi na wala asitoke nje ya ndoa ili kuzipa muda sperm zikomae vema na pia atumie natural protein kwa wingi kama samaki, njegere, maharage mahindi mboga mboga na matunda na vinavyofanana na hivyo.
Kwa huo mzunguko mfupi nawapa home work mtanipm majibu
asanteni sana