Kwanza tuanze na hicho unachokijua.Wakuu nawasalimu. Naomba kama Kuna mtu ana uelewa na Hili anisaidie. Azania bank wanatoa mikopo kwa wanachama wa NSSF. Kama mtu aliachishwa kazi kipindi cha janga la Corona kwa sababu kampuni iliamua kupunguza wafanyakazi na hakutoa mafao yake NSSF na ameamua kutokuajiriwa tena anaweza kupata mkopo?
NSSF ipoKwanza hiyo NSSF bado ipo!?
Mikopo inatolewa Azania bank kwa wanachama wa NSSFKwanza tuanze na hicho unachokijua.
Je ni kweli kuwa NSSF wanatoa mikopo maalum kwa wanachama wa NSSF?
Je dhamana inakuwa ni huo uanachama au vipi?
Vigezo vingine zaidi ya uanachama ni vipi?
Ni mikopo maalum kwa wanachama?Mikopo inatolewa Azania bank kwa wanachama wa NSSF
Mkuu tupe details kidogo itabidi nitoke huku Congo na mpunga wangu NSSFMikopo inatolewa Azania bank kwa wanachama wa NSSF
Ndicho nilichosoma mitandaoni kwamba unaweza kupata mkopo kwa dhamana ya akaunti yako ya NSSFNi mikopo maalum kwa wanachama?
Wakuu nimewasiliana na Azania bank Leo wameniambia hawajafikia mkataba na NSSF wa kukopesha wanachama. Nimeshangaa sana maana hii habari ni ya siku nyingi tu. Ngoja niwatafute NSSF nijiridhishe na Hili jibu
Ni kukosa kuwajibika. Hovyo kabisaMambo ya bongo haya . Mtu ana akiba ya mamilioni lakini hakopesheki
Na ukitaka pesa zako nasikia unapewa 30% tu. Kuna ukweli kwenye hili?Mambo ya bongo haya . Mtu ana akiba ya mamilioni lakini hakopesheki
Nimewatafuta NSSF wala hakuna la maana waliloniambia. Naambiwa lazima uwe active member then upitie kwenye SACCOS. Ukiwauliza Azania bank wanakuambia bado hawajafikia mkataba na NSSF wa kutoa mikopo. A total confusion[emoji848][emoji51]
Nimepiga customer care Dar hawakuwa na jibu wakaniunganisha na branch ya Arusha. Niliyeongea nae akasema yuko idara ya mikopo but majibu ndio hayo😬unawezakuta customer care kote ulikopiga hawana idea na unachowauliza[emoji2][emoji2][emoji2]
bongo kila kitu kinawezekana.
NENDA SIDO AU VETA NDIO WANA KUPA ZILE TAARIFA ZA AWALINimepiga customer care Dar hawakuwa na jibu wakaniunganisha na branch ya Arusha. Niliyeongea nae akasema yuko idara ya mikopo but majibu ndio hayo😬