Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi una uwezo mkubwa sana wa kufikiri kuliko 80℅ ya wakuu waliochangia. Hongera kwakua na IQ kubwa mkuuTangazo linaeleweka lile. Uwezo wa kufikiri ni mdogo sana.
Ndio maana yake. Omba ueleweshweBasi una uwezo mkubwa sana wa kufikiri kuliko 80℅ ya wakuu waliochangia. Hongera kwakua na IQ kubwa mkuu
Sawasawa Powder na nahis aliedit jina lake mwanamke mwenyewe bila Mumewe kujuaJoti Ana nyumba ndogo ka save kama no. 1, mke wake kagundua so kaja kumuuliza huyo no. 1 ndo nani? Joti akawa anazuga kuwa yupo busy na Simu!.....all in all matangazo hayawezi kuwa kama Scene za Movie!
Na kwa vyovyote utakuwa mhaya piaHata mimi pamoja na PhD yangu katika mass communication kutoka chuo kikuu cha Yale (USA) sikufanikiwa kulielewa tangazo hili na wala sina matumaini ya kulielewa katu huko mbele ya safari, yani ni giza tupu!
Kweli kidogo inaleta mantikingoja niwape ninavoelewa,
joti yuko busy na whatsapp si ni bure kwa ile bundle hadi anamsahau wife, mara wife anashutuka na kumpigia(maana simu inapoingia joti anasema huyu wife) na kumuuliza nani number moja wake kwa maana hawana hata time ya kukaa pamoja. sasa joti alikosa jibu la haraka na muda huo mara anamwona wife karibu akashndwa kujibu ikabidi ajibu nitumie kwenye whatsapp maana wife alishajaa anauliza kwa kucommand na simu kaitoa sikioni, na babu joti anazuga hajamwona, hvo tu kwa upande wanGu
Hata mimi sijaelewaJoti kichwaa ww kam ujaelewa utabak ivoivo