Naomba msaada kwenye hili tangazo la TiGo....!!!

Naomba msaada kwenye hili tangazo la TiGo....!!!

ngoja niwape ninavoelewa,

joti yuko busy na whatsapp si ni bure kwa ile bundle hadi anamsahau wife, mara wife anashutuka na kumpigia(maana simu inapoingia joti anasema huyu wife) na kumuuliza nani number moja wake kwa maana hawana hata time ya kukaa pamoja. sasa joti alikosa jibu la haraka na muda huo mara anamwona wife karibu akashndwa kujibu ikabidi ajibu nitumie kwenye whatsapp maana wife alishajaa anauliza kwa kucommand na simu kaitoa sikioni, na babu joti anazuga hajamwona, hvo tu kwa upande wanGu
 
Joti Ana nyumba ndogo ka save kama no. 1, mke wake kagundua so kaja kumuuliza huyo no. 1 ndo nani? Joti akawa anazuga kuwa yupo busy na Simu!.....all in all matangazo hayawezi kuwa kama Scene za Movie!
Sawasawa Powder na nahis aliedit jina lake mwanamke mwenyewe bila Mumewe kujua
 
Wakuu Mimi nikiwa natumia laini ya tigo kufanya whatsapp calling inakata haipigi
 
Hata mimi pamoja na PhD yangu katika mass communication kutoka chuo kikuu cha Yale (USA) sikufanikiwa kulielewa tangazo hili na wala sina matumaini ya kulielewa katu huko mbele ya safari, yani ni giza tupu!
Na kwa vyovyote utakuwa mhaya pia
 
Ni hivi....! Mke wa joti aligundua kuna mtu kaseviwa namba1,ili kuridhika kama ni mchepuko wa mumewe aliamua kuichukua sim ya mumewe kwa siri na kudelete namba hiyo na kuediti namba yake(probably mpya) na kuisev namba1 kisha akampigia nayo kuona atakavopokea atakavoongea na akafanikiwa kumnasa!
 
ngoja niwape ninavoelewa,

joti yuko busy na whatsapp si ni bure kwa ile bundle hadi anamsahau wife, mara wife anashutuka na kumpigia(maana simu inapoingia joti anasema huyu wife) na kumuuliza nani number moja wake kwa maana hawana hata time ya kukaa pamoja. sasa joti alikosa jibu la haraka na muda huo mara anamwona wife karibu akashndwa kujibu ikabidi ajibu nitumie kwenye whatsapp maana wife alishajaa anauliza kwa kucommand na simu kaitoa sikioni, na babu joti anazuga hajamwona, hvo tu kwa upande wanGu
Kweli kidogo inaleta mantiki
 
Back
Top Bottom