Naomba msaada Luxury Buses kutoka Dar kwenda Kigoma

kuna kipindi nilipanda bus la kigoma nilikua naenda Tabora lile bas balaa sana kunguni mende panya mpaka nashuka tabora abiria watatu siti za nyuma walipotea kuna konda alisema sijui wameliwa na chatu yan lile busi kiboko alafu nikaambiwa hilo ndio luxury kuna mengine mpaka fisi wamo nakushauri kama uko soft sana bora upande tu ndege kigoma hakuna luxury
 
Duu! Hadi fisi. Hapa kuna chumvi imeongezwa...
 
Hahaha
 
Naomba msaada Luxury Buses kutoka Dar kwenda Kigoma
Chukua Saratoga Line inatoka saa 9 usiku nauli 80k
Ni zhongtong bus yenye siti kali za leather ni
2x2 , Au chukua Adventure connection bus inatoka saa 2 usiku ni 2 by 2 ina siti kali seat za leather, washroom na azam tv pia nauli 100k, huduma km vinywaji zinapatikana kwenye bus zote, WiFi sina uhakika, A.C kote wanawasha , USB charger zipo kote
Naomba msaada Luxury Buses kutoka Dar kwenda Kigoma
 

Attachments

  • Screenshot_20240227-012740_Instagram.jpg
    526.6 KB · Views: 18
  • Screenshot_20240227-012632_Instagram.jpg
    460 KB · Views: 19
Kigoma Kuwe Na Luxury??? Kwanza Watani Zangu Waha Ni Wabahili Sana Hawatopanda.

Huko Mikoani Gari Zinazoenda Ni Semi- Luxury...

Nilikuwa Nasika Kampuni La Saratoga Sijui Bado Wapo.
Ahaaaa ...Jana nimetoka huko luxury vyuma viko mkuuu ....mtoa mada panda Saratoga ya saa Saba usiku VIP nauli 80,000 au Adventure Ina huduma ya choo ndani nauli 100,000 Ina Anza safari saa mbili usiku dsm
 
Kigoma Kuwe Na Luxury??? Kwanza Watani Zangu Waha Ni Wabahili Sana Hawatopanda.

Huko Mikoani Gari Zinazoenda Ni Semi- Luxury...

Nilikuwa Nasika Kampuni La Saratoga Sijui Bado Wapo.
Dah
Hii imekaa vzr ngoja nikafatilie sasa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ww ni kiboko mbavu zangu mm nimecheka mpaka watu wanashangaa
 
Huko hakuna luxury ni mwendo wa kuchekechwa tuu mwanzo mwenga...
Vumbi mpk vinyweleo vya puani..na hizi mvua vaa nguo nyeusi na mabuti...
Kitu kama huna uhakika nacho bora kukaa kimya tu kuliko kuleta ujuaji usio na maana,,Kigoma luxury zipo basi za Saratoga nauli ni 80k,na Adventure 100k Ina leather seat,full ac,huduma ya chakula na vinywaji kiufupi ni kali sana so usipotoshe
 
Hivi gharama ya fumigation kwenye mabasi ni kiasi gani au wamiliki Huwa hawana item cost hiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…