Daaaaah!!!!!!!!!kuna kipindi nilipanda bus la kigoma nilikua naenda Tabora lile bas balaa sana kunguni mende panya mpaka nashuka tabora abiria watatu siti za nyuma walipotea kuna konda alisema sijui wameliwa na chatu yan lile busi kiboko alafu nikaambiwa hilo ndio luxury kuna mengine mpaka fisi wamo nakushauri kama uko soft sana bora upande tu ndege kigoma hakuna luxury