Dah!! Will try, unajua na wadada wa kazi hawa wa siku hizi anaweza akaanza kumpiga sana, ila la kimtym muda ni la msingi sana ntajaribuJaribu kuangalia muda ambao mara nyingi huwa anajisaidia, au uwe una mtime tuu ukihisi anakaribia kupupu mchukue mtenge kwenye pot hakikisha anakaa hapo mpaka atakapopuu. With time itaisha tuu....toilet trainingvwatoto wanatofautiana katika kujifunza, wapo wanaodelay kidogo. So isikuoe mawazo mzazi, ni jambo la kawaida.
Minyoo pia inaweza kuwa ni tatizo?? Tutajaribu kumpima tuoneMzoeeshe kukaa kwenye poti na kila ukijua ni mida yake ya kujisaidia mmwambie akae kwenye pot atazoea tu,pia mpime minyoo
Maji ya baraka ndo jibu, mpe anywe, kama kanyweshwa uchafu ndo utajua kweli hii dunia Kuna mengiHalo wadau, mambo ni aje?? Nina mtoto wa kiume wa umri wa miaka miwili na miez mitatu, ananipa mawazo sana, akisikia haja ndogo utasikia anakwambia nataka jojoa na either aende nje au atakwenda kabisa chooni ila ikija kwenye haja kubwa, yaan tumejitahidi kila njia lakin utamuona anakwenda pembeni anasimama na anajinyea. Sasa jamani nifanyeje?? Au itafika mahal ataacha?? Je kuna chochote naweza kufanya kwa sasa kumsaidia?
Duh yanapatikana wapi hayo maji?? Na kama hajanyeshwa kitu hakuna njia nyingineMaji ya baraka ndo jibu, mpe anywe, kama kanyweshwa uchafu ndo utajua kweli hii dunia Kuna mengi
Zingatia ushauri niliokupa. ...haya mambo yatakupa shida zaidiDuh yanapatikana wapi hayo maji?? Na kama hajanyeshwa kitu hakuna njia nyingine
Ahsante sana mkuuIsikupe taabu kiongozi ni kawaida,,,,
Jaribu kumsisitiza dada kuwa mtoto akijipupulia asimuattack kwa maneno makali,, friendly aendelee kumkumbusha kuwa next time aseme anataka kupupu, while mnaendelea kumtime mida yake. Na pia, muwe mnampa ahadi za zawadi kuwa siku akisema anataka kupuu na kutojinyea mnampa soo and soo..as reward....watoto wanaenda sana rewards,, yaweza kuwa sifa tuu
Punguza ukali wa maneno mdada....wewe una mtoto?Mtoto miaka miwil kujinyea ni uzembe wa mzazi...Ipo kwa baadhi ya watoto ila malezi yenu ndo yanachangia...Sasabwenzio mtoto akifikabmiez sita tu wanaanza kufundisha watoto kila kitu mpk akifika umr huo anajitegemea!
Mfano mi mtoto wa dadangu akibanwa haja zote anajua lile poti lake la kiti liko wapi..Qnavua nguo ya chini mwenyewe anajisaidia we utaskia mama tayar ujue ukamnawishe,mwingne miezi nane tu hakojoi kitandani wala hamkojolei mtu..Lakini hujachelewa ndugu jitahid umfundishe kbla ya miaka mitatu kufika..Mfundishe kutumia poti na kuvua nguo ya chini mwenyewe utaona..
Kanisani mkuu, nenda katoliki, haya maji Ni mazuri mno, hata kama Kuna wachawi hawagusi hapo kabisaDuh yanapatikana wapi hayo maji?? Na kama hajanyeshwa kitu hakuna njia nyingine
Ahsante dada yangu kwa ushauriMtoto miaka miwil kujinyea ni uzembe wa mzazi...Ipo kwa baadhi ya watoto ila malezi yenu ndo yanachangia...Sasabwenzio mtoto akifikabmiez sita tu wanaanza kufundisha watoto kila kitu mpk akifika umr huo anajitegemea!
Mfano mi mtoto wa dadangu akibanwa haja zote anajua lile poti lake la kiti liko wapi..Qnavua nguo ya chini mwenyewe anajisaidia we utaskia mama tayar ujue ukamnawishe,mwingne miezi nane tu hakojoi kitandani wala hamkojolei mtu..Lakini hujachelewa ndugu jitahid umfundishe kbla ya miaka mitatu kufika..Mfundishe kutumia poti na kuvua nguo ya chini mwenyewe utaona..
Halo wadau, mambo ni aje?? Nina mtoto wa kiume wa umri wa miaka miwili na miez mitatu, ananipa mawazo sana, akisikia haja ndogo utasikia anakwambia nataka jojoa na either aende nje au atakwenda kabisa chooni ila ikija kwenye haja kubwa, yaan tumejitahidi kila njia lakin utamuona anakwenda pembeni anasimama na anajinyea. Sasa jamani nifanyeje?? Au itafika mahal ataacha?? Je kuna chochote naweza kufanya kwa sasa kumsaidia?
Zingatia ushauri huu,,,achana na maji. Maji hayatochange hiyo tabia.Unapomuona anakwenda pembeni kutaka kufanya yake muwahi na umuwekee poti, jaribu kumzowesha kumuwekea poti nyakati zile ambazo unadhani huwa anapata haja kubwa inaweza kusaidia kupunguza tatizo hili na miaka miwili na ushee ni bado mdogo huna haja ya kuanza kupanick ila uongeze bidii ili upunguze na kuliondoa kabisa tatizo hili.
Inakubidi wakat mwingine kukubaliana na mawazo tofauti, hatufikirii sawa, ameandika hivyo kutokana na experience ya mazingira aliyokulia na kuyaona yeyePunguza ukali wa maneno mdada....wewe una mtoto?
Siyo namna sahihi ya kufikiriaInakubidi wakat mwingine kukubaliana na mawazo tofauti, hatufikirii sawa, ameandika hivyo kutokana na experience ya mazingira aliyokulia na kuyaona yeye
Hahaahahah, bunju sipajui mkuu, mi napajui kwanjeka, majani mapana, kwa minchi, mabokweni, makorora, mwakizaro, masiwan shamba, chumvini, kisosora mtafute mtu wa tanga akutafsirieYes mkuu.
Ila karuka futi mia eti yupo Tanga wakati mie najua anaishi Bunju 'A'.
Hivi ile bara bara inayopita utofu bado wanapitisha mashindano ya magar?Hahaahahah, bunju sipajui mkuu, mi napajui kwanjeka, majani mapana, kwa minchi, mabokweni, makorora, mwakizaro, masiwan shamba, chumvini, kisosora mtafute mtu wa tanga akutafsirie