navache
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 499
- 368
Daaa umejibu kwa ukali mpaka nimeumia. Sina uhakika kama una mtoto tayari*. Binafsi nina mtoto wa umri uliozaidi ya huo, na bado naendelea kumfunza mwanangu hizo habari za kupupu. Ninachojua ni kuwa watoto wanatofautiana sana linapokuja suala la kujifunza kitu kipya. Wapo wanajifunza mapema na wanaochelewa. Kikubwa kwa mzazi ni uvumilivu.Mtoto miaka miwil kujinyea ni uzembe wa mzazi...Ipo kwa baadhi ya watoto ila malezi yenu ndo yanachangia...Sasabwenzio mtoto akifikabmiez sita tu wanaanza kufundisha watoto kila kitu mpk akifika umr huo anajitegemea!
Mfano mi mtoto wa dadangu akibanwa haja zote anajua lile poti lake la kiti liko wapi..Qnavua nguo ya chini mwenyewe anajisaidia we utaskia mama tayar ujue ukamnawishe,mwingne miezi nane tu hakojoi kitandani wala hamkojolei mtu..Lakini hujachelewa ndugu jitahid umfundishe kbla ya miaka mitatu kufika..Mfundishe kutumia poti na kuvua nguo ya chini mwenyewe utaona..