Naomba msaada, mtoto wangu anajinyea

Naomba msaada, mtoto wangu anajinyea

Attachments

  • 1460825891576.jpg
    1460825891576.jpg
    52.9 KB · Views: 44
Embu jaribu kuwa mkali kidogo.acha kudhani bado ni mtoto kiasi hicho.
 
Sada mkimuona anakwenda pembeni na kusimama, ninyi mnafanya nini? Inaelekea kila afanyapo hivyo ndio anajisaidia. Hapo ndio mumpeleke maliwato au mumpe kikalio cha kujisaidia haja kubwa.
 
Halo wadau, mambo ni aje?? Nina mtoto wa kiume wa umri wa miaka miwili na miez mitatu, ananipa mawazo sana, akisikia haja ndogo utasikia anakwambia nataka jojoa na either aende nje au atakwenda kabisa chooni ila ikija kwenye haja kubwa, yaan tumejitahidi kila njia lakin utamuona anakwenda pembeni anasimama na anajinyea. Sasa jamani nifanyeje?? Au itafika mahal ataacha?? Je kuna chochote naweza kufanya kwa sasa kumsaidia?
Kiongozi usihofu Sana hilo tatizo ni siyo kubwa Sana, ila kumbuka kuwa watoto wakiume wanachelewa kujitegemea kuliko watoto wa kike, mimi mwenyewe nilihangaika Sana na mtoto wangu wakiume, kitu kikubwa ni kumfanyia training kila siku, hasa asubuhi na baada ya kula, kama anakaa na msichana wa kazi basi ujue itachukua muda zaidi, kwa sababu wasichana wa kazi hawaoni kama ni kitu cha muhimu na siunajua akiweza kujitegemea ajira yake inaelekea mashakani, wala usikasilike hilo tatizo litaisha pole pole lakini ufanye training kama nilivyokueleza hapo. Mimi wa kwangu ameacha ana miaka mitatu tena nilipambana kweli, tena yeye alikuwa akisikia haja kubwa anajificha na kuyabana ile mbaya, sasa hivi ameacha kabisa anachukua poti mwenyewe, akimaliza anakwambia nimekunya nisafishe, basi mambo yamekeisha, training ni muhimu ila usiwe mkali Sana hata kuelewa.

NB: MTOTO KIUME NI MZITO KUJITEGEMEA KULIKO WA KIKE, MIMI NINAO WOTE WAWILI NIMEONA, NEPI ZA PAMPARS HUCHANGIA PIA.
 
Mimi nakushauri mzoeshe kukaa kwenye pot hata km haskii haja ili azoee tu
 
Hongera Kwa kuwa na mtoto mwenyewe afya,,mzoeshe timing za kumwekea poti kabla hajakata gogo,,,usiwe na stress ni kawaida hata wewe ulipitia hizo hatua
 
Zingatia ushauri huu,,,achana na maji. Maji hayatochange hiyo tabia.
Ni tatiza la kawaida wala sio spiritual. Mtt anahitaji training kwa upendo. Isije kuwa akijisaidia anakaripiwa au kupigwa so ana psychological problem. Jitahidi kufata ushauri hapi juu ..
 
Umri huo unamruhusu kufanya hayo mkuu na baadae ataacha na kuwa soap soap kama mzee wa maji Ray
 
Pole mkuu...kusema kweli Kuna vitu vigeni vikitokea vinachanganya sana...Kuna mtoto wa Dada yanagu alikuwa anakojoa kitandani hadi umri wa miaka 12...walitumia mbinu nyingi sana lakini wakafikia hatua wakakata tamaa dogo akawa kikojozi sugu
Niliporudi tena chuo kujiendeleza nikaamua kumchukua kukaa nae kwangu...nikiwa macho usiku nasoma namshtua kama mida ya saa tisa usiku kila siku namfungulia mlango anaenda kukojoa...kusema kweli ndani ya wiki mbili tu akaanza kushtuka mwenyewe usingizini anafungua mlango anakojoa anarudi kulala
Nilipompa mama yake (Dada yangu) taarifa za mwanae akanambia "kaa nae tu ndo keshakuwa mtoto wako huyo"...hadi leo naishi nae kwangu hapa
 
Sada mkimuona anakwenda pembeni na kusimama, ninyi mnafanya nini? Inaelekea kila afanyapo hivyo ndio anajisaidia. Hapo ndio mumpeleke maliwato au mumpe kikalio cha kujisaidia haja kubwa.
Kiongozi usihofu Sana hilo tatizo ni siyo kubwa Sana, ila kumbuka kuwa watoto wakiume wanachelewa kujitegemea kuliko watoto wa kike, mimi mwenyewe nilihangaika Sana na mtoto wangu wakiume, kitu kikubwa ni kumfanyia training kila siku, hasa asubuhi na baada ya kula, kama anakaa na msichana wa kazi basi ujue itachukua muda zaidi, kwa sababu wasichana wa kazi hawaoni kama ni kitu cha muhimu na siunajua akiweza kujitegemea ajira yake inaelekea mashakani, wala usikasilike hilo tatizo litaisha pole pole lakini ufanye training kama nilivyokueleza hapo. Mimi wa kwangu ameacha ana miaka mitatu tena nilipambana kweli, tena yeye alikuwa akisikia haja kubwa anajificha na kuyabana ile mbaya, sasa hivi ameacha kabisa anachukua poti mwenyewe, akimaliza anakwambia nimekunya nisafishe, basi mambo yamekeisha, training ni muhimu ila usiwe mkali Sana hata kuelewa.

NB: MTOTO KIUME NI MZITO KUJITEGEMEA KULIKO WA KIKE, MIMI NINAO WOTE WAWILI NIMEONA, NEPI ZA PAMPARS HUCHANGIA PIA.
Mimi nakushauri mzoeshe kukaa kwenye pot hata km haskii haja ili azoee tu
Hongera Kwa kuwa na mtoto mwenyewe afya,,mzoeshe timing za kumwekea poti kabla hajakata gogo,,,usiwe na stress ni kawaida hata wewe ulipitia hizo hatua
Pole mkuu...kusema kweli Kuna vitu vigeni vikitokea vinachanganya sana...Kuna mtoto wa Dada yanagu alikuwa anakojoa kitandani hadi umri wa miaka 12...walitumia mbinu nyingi sana lakini wakafikia hatua wakakata tamaa dogo akawa kikojozi sugu
Niliporudi tena chuo kujiendeleza nikaamua kumchukua kukaa nae kwangu...nikiwa macho usiku nasoma namshtua kama mida ya saa tisa usiku kila siku namfungulia mlango anaenda kukojoa...kusema kweli ndani ya wiki mbili tu akaanza kushtuka mwenyewe usingizini anafungua mlango anakojoa anarudi kulala
Nilipompa mama yake (Dada yangu) taarifa za mwanae akanambia "kaa nae tu ndo keshakuwa mtoto wako huyo"...hadi leo naishi nae kwangu hapa
Dah!!! Nashukuru sana kwa maoni na ushauri wenu, nilikuwa kama najiona kama nina mzigo mzito ila sasa nimeutua, nitajitahidi kufanya hvyo na kuleta mrejesho hapa
 
Halo wadau, mambo ni aje?? Nina mtoto wa kiume wa umri wa miaka miwili na miez mitatu, ananipa mawazo sana, akisikia haja ndogo utasikia anakwambia nataka jojoa na either aende nje au atakwenda kabisa chooni ila ikija kwenye haja kubwa, yaan tumejitahidi kila njia lakin utamuona anakwenda pembeni anasimama na anajinyea. Sasa jamani nifanyeje?? Au itafika mahal ataacha?? Je kuna chochote naweza kufanya kwa sasa kumsaidia?
Ila pia zingatia na maombi. Kuna cases kama mbili nimeshuhudia za watoto tofauti zinafanana na ishu ya mwanao. Watoto walianza tu tabia hyo yakujificha pembeni ya nyumba wanajinyea while mwanzon walishaweza kusema kila walipotaka kwenda toilet. Ila walipoombewa ilifahamika kuwa walitumiwa liroho la utaahira hivi. So fanya juhudi kama mzazi na mtangulize Mungu pia.
 
Utakua ulimbebea mimba kabla hajamaliza kunyonya, eti?
 
Mie wangu nikimuweka kwenye poti analia utadhani poti lina mdudu nshachoka, anapupu kasimama utadhani ng'ombe
 
Back
Top Bottom