Naomba msaada namna verification ya Channel YouTube

Naomba msaada namna verification ya Channel YouTube

Msokwa1

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2018
Posts
477
Reaction score
526
Habari za wakati huu wakuu!

Nimefungua channel youtube lakini iko limited kupost video zenye urefu zaidi ya dakika 15 kwa sababu bado sija verify. nimejaribu kuverify lakini kila muda ina niambia either hivi.

Capture 2222222222.PNG

au
PICS.PNG

Naombeni kujua ni fomart gani ya namba youtube wana accept maana nimejaribu kila namna kufuata maelezo yao ya namna ya kuandika namba lakini napata feedback kama kwenye picha hapo.
 
Format: 0700000000

Badilisha hiyo namba uliyoiandika huenda imetumika kwenye channel nyengine.
 
Back
Top Bottom