Naomba msaada ndugu zangu JF, nipate mwalimu wa kunifundisha lugha ya kingereza cha kuongea na kuandika

haya anza kwa kila unachotaka kusema humu au kuuliza kwa kingereza..., kujua lugha ni kuiongea na kuitumia tu hakuna lingine pia soma vitabu na karne ya sasa nenda youtube lazima kuna tutorials
Shukrani sana [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Mkuu unakwama wapi?
Mbona Arusha kuna wataalamu wengi sana wa Lugha tena wa kimataifa.
Kuna kipindi nilikutana na wale jamaa wanaosindikiza wazungu/tour guides aisee jamaa ni hatari wanagonga ngeli ile original ya British na America.
Nilipowahoji mmejifunzia wapi waliniambia kuna vituo vingi kuna watu wanafundisha.
Kama una rafiki yeyote anafanya kazi za utalii muulize atakuelekeza.
Mkuu kuvipata vyenyewe ni ixhu sana. Kama unaweza kunifanyia connection ingependeza mkuu.
 
Najua nimeeleweka hapo juu. Shida yangu kuu niupande wa lugha ya kingereza ndo nakwama sana. Naomba msaada wenu tafadhali. Wakuu.
Aisee ukimpata nijumuishe kwenye darasa nitachangia nauli ya mwalimu... Maana hiki kilugha nikiongea mwenyewe kinatoa ushirikiano shida nilitaka kuongea na mtu hapo kinanikataa kabisa....
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji106]basi sawa mkuu tuko pamoja.
 
Mkuu unakwama wapi?
Mbona Arusha kuna wataalamu wengi sana wa Lugha tena wa kimataifa.
Kuna kipindi nilikutana na wale jamaa wanaosindikiza wazungu/tour guides aisee jamaa ni hatari wanagonga ngeli ile original ya British na America.
Nilipowahoji mmejifunzia wapi waliniambia kuna vituo vingi kuna watu wanafundisha.
Kama una rafiki yeyote anafanya kazi za utalii muulize atakuelekeza.
Ww binafsi itakuwa haujui English. Tour guides wapi? Asilimia kubwa ya tour guides Tanzania English language proficiency is very poor. Mimi niko nao mara kwa mara. Yani wanaunga unga tu.. na tatizo au uzuri hawajui wanakosea. Ni nzuri sababu inawapa confidence, ila ni mbaya sababu hawaoni umuhimu wa ku-improve.
 
Njoo na dau lako pm nikupige msasa chap chap. Nina notsi zote, Location Kambi ya Fisi.
 
Ww binafsi itakuwa haujui English. Tour guides wapi? Asilimia kubwa ya tour guides Tanzania English language proficiency is very poor. Mimi niko nao mara kwa mara. Yani wanaunga unga tu.. na tatizo au uzuri hawajui wanakosea. Ni nzuri sababu inawapa confidence, ila ni mbaya sababu hawaoni umuhimu wa ku-improve.
Mkuu msaada wako.
 
Wewe ulikaa na tour guides wa kampuni gani hiyo?
Pia nataka kujua wewe unaongea kwa kiwango gani?
Kama hao wazungu wenye lugha yao wanaongea nao 24 hours na hawakosoi wanaelewana kwa asilimia 100 wewe ni nani mpaka uwakosoe?
 
Back
Top Bottom