Naomba msaada ndugu zangu JF, nipate mwalimu wa kunifundisha lugha ya kingereza cha kuongea na kuandika

Naomba msaada ndugu zangu JF, nipate mwalimu wa kunifundisha lugha ya kingereza cha kuongea na kuandika

Wewe ulikaa na tour guides wa kampuni gani hiyo?
Pia nataka kujua wewe unaongea kwa kiwango gani?
Kama hao wazungu wenye lugha yao wanaongea nao 24 hours na hawakosoi wanaelewana kwa asilimia 100 wewe ni nani mpaka uwakosoe?
Mkuu msaada please [emoji120]
 
Wewe ulikaa na tour guides wa kampuni gani hiyo?
Pia nataka kujua wewe unaongea kwa kiwango gani?
Kama hao wazungu wenye lugha yao wanaongea nao 24 hours na hawakosoi wanaelewana kwa asilimia 100 wewe ni nani mpaka uwakosoe?
Una -Question English Yangu? Nimekuwekea Clip Hapo. Kama bado unataka debate na mimi useme.
 
Wewe ulikaa na tour guides wa kampuni gani hiyo?
Pia nataka kujua wewe unaongea kwa kiwango gani?
Kama hao wazungu wenye lugha yao wanaongea nao 24 hours na hawakosoi wanaelewana kwa asilimia 100 wewe ni nani mpaka uwakosoe?
Sina muda wa kubishana na watu wa JF Kama ww mimi..
 
Mimi nahitahi mtu wa ku practice. Kama waweza nisaidia nitashukuru.
Tatizo la nchi yetu hata waalimu wa kiingereza hawajui kuongea kiingereza labda cha kuandika tu, ili kuongea ni hatari pronouciation, Grammer comprehsion nk......kiingereza ni janga la taifa, kijana wala husiwatamani ni wa mbovu balaa
 
Yaani huwezi kabisa kama mtoto anayeanza kujifunza a e i...? Nilidhani unajua kidogo ili tuwe tunapractice kwa kuongea na kuandika sometimes 🤔
Nitumie namba wako Mdada. Nita-practice na ww sababu najua una points za maana za kujenga. We will just converse in English. Nitakupigia mimi
 
Mleta uzi mimi nimesahau majina ya sentensi ila nitakua nakuandikia kadri nitakavyokua bored.

Katika lugha kuna viwakilishi katika kiswahili tunaviita 'Mimi' 'Wewe' 'Yule' 'Nyinyi' 'Kile' 'Wao' katika kiingereza kuna 'I' 'You' 'She' 'He' 'They' 'We' 'It'.

Sasa katika kiingereza kila kiwakilishi kina namna yake ya kukitungia sentense hapa namaanisha hivi;

I } am + ing

Yaani ni kwamba sentensi ikiwa na 'I am' tendo lake ni lazima liongezwe 'ing'

Eg. I am eating
Mimi ninakula.

Viwakilishi vya umoja ni:

She
He
It na hivi vinaenda na } is + ing

Pia sentensi ikiwa na 'She' 'He' 'It' itaenda na 'is' na tendo lake litaongezwa 'ing'

Eg. She is eating.
Yeye anakula.

Viwakilishi vya wingi ni:

We
You
They hivi vinaenda na } are + ing

Ni kama hapo juu kwamba ukikuta kiwakilishi chochote kutoka hapa kitafuatiwa na 'are' kisha tendo litaongezwa 'ing'

Eg. We are eating.
Sisi tunakula.

NB: She inawakilisha jinsia ya 'Ke' hivyo badala ya kuandika 'Amina is eating' unaweza kuandika 'She is eating.

Na 'He' inawakilisha jinsia ya 'me' hivyo badala ya kuandika 'Ali is eating' unaweza kuandika 'He is eating'

Sasa fanya hivi. Tunga sentensi mbili kwa kila viwakilishi nilivyoviandika hapo. Halafu tuendelee.
 
Tatizo la nchi yetu hata waalimu wa kiingereza hawajui kuongea kiingereza labda cha kuandika tu, ili kuongea ni hatari pronouciation, Grammer comprehsion nk......kiingereza ni janga la taifa, kijana wala husiwatamani ni wa mbovu balaa
You are right.
Nchi za wenzetu Ghana,Nigeria,South Africa raia wote wanaongea kiingereza.
Sasa huku bongo hata ukiijua utaongea na nani mtaani
 
You are right.
Nchi za wenzetu Ghana,Nigeria,South Africa raia wote wanaongea kiingereza.
Sasa huku bongo hata ukiijua utaongea na nani mtaani
Kuna tofauti kubwa ya kiingereza anachoongea mtu ambaye ni lugha ameikuta na ambaye ameingia darasani kusoma. Kiingereza cha nigeria cha "You dey bust my brain" ni kigumu kukielewa hata kwa ambaye anajiona kaiva kiingereza.
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Hao watu naishi nao huku Dubai,Nigerians,Ghanians sometimes wananipa tabu sana kuwaelewa wakiongea especially wale ambao wametokea villages wanachekesha sana.
I dont walk to walk because my murder is murder na.(I dont walk to work because my mother is murdered)[emoji1787][emoji1787]
 
Nini hiki unaandika katika uzi wa mtu kutaka msaada?
Huyo jamaa ni pimbi sana anatafuta kiki kilazima.
Anasaka umaarufu kupitia watu,halafu analeta dharau kwa watu asiowajua tukisema kila mtu afunguke humu atajiona mchumba tu.
 
Back
Top Bottom