swahibu ramadhani
Member
- Apr 30, 2021
- 49
- 28
- Thread starter
- #81
Basi MkuuKama upo Arusha, na unataka kujua Kiingereza safi kabisa, basi nenda pale "British Council" kajiunge na course yao ya Kiingereza.
Pale utafundishwa lugha na waalimu wa Kiingereza wenyewe, ukitoka hapo utaongea kama Boris Johnson, labda kichwa chako kiwe kizito.
Nimekuwekea link yao hiyo :