mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
Sasa kama una bichwa zito nikufanyaje?Chagua adhabu inayowafaa watu wenye ulemavu wa ubongo kama wewe.Pumbavu ww. Unafikiria kumpiga mtu mzima makofi? Ndio maana nikasema ww ni illiterate. Hautathubutuu. Yani kitu nitakufanya kabla haujanyanyua huo mkono wako UTAJUTA KUZALIWA. Fala mkubwa na mbwa koko ww.
Sasa 17% inaweza kufanya Watanzania wote mitaani wazungumze kiingereza?Kilaza wewe hata hesabu hujui[emoji23][emoji23][emoji23]. Utalii ni 17% ya Tanzania GDP. Leo utaelimika tu.
Ilboru Secondary School Kipaji Maalum Form IV Class of 1998. Then Form V Kibaha, ila nikapata scholarship USA hata form V sikusoma Tz. BSc, MBA, PhD zote with the highest disctinctions. Tena ujue wazungu nilikuwa nawashinda sana in English writing ya essays etc. Sometimes hata niliongoza darasa pamoja na kwamba nilizaliwa Tz.Kula bata ni lugha ya kihuni ya mtaani na si kiswahili sanifu.
Na kama unasema mtu na hela zangu ni maneno ya mtaani si kosa langu kutafsiri vile bali kosa ni la kwako kuchanganya lugha sanifu na lugha za mtaani.
Wewe mwalimu wako alikuwa na kazi nzito sana ilifaa ulipie ada mara 2 ya wengine.
Nani kasema waTz wote? Ww si ulisema Tz hatuongei English. Unaandika kwa kuropoka tu.Sasa 17% inaweza kufanya Watanzania wote mitaani wazungumze kiingereza?Kilaza wewe hata hesabu hujui
Hold on guys!! DocJayGroup and Mbu ya dengue, mnaweza kuelimishana kwa maneno mazuri yenye staha hata mimi kilaza nikaokota kitu.
Ndio watanzania Lugha yetu ni Kiswahili.Nani kasema waTz wote? Ww si ulisema Tz hatuongei English. Unaandika kwa kuropoka tu.
Na uelewe vijana wanakosa opportunity nyingi sana za kujiajiri sababu ya kutojua English na Computer. Tayari umeshapewa capital (mbuga za wanyama). Vijana wanachohitaji ni computer skills ili wafanye marketing online na good language skills pia. Hilo nimeliona Tz. Yani wanakosa opportunity na utalii ambao ungewezesha wengi sana unawezesha wachache tu. Magari nk.. mtu anaweza kukodi tu.Ndio watanzania Lugha yetu ni Kiswahili.
Kuna nchi ndani ya Africa lugha ya Taifa ni kiingereza na raia wote wanazungumza kiingereza.
Ila kwa vile unakurupuka kama mwanamke aliyefumaniwa hukuelewa.
But you can make it in a better way and bring more positivity, me too I would like to learn and am pretty sure I ain't alone so by using nice and kind-hearted words many people will come.Asante mkuu. Huyu jamaa kajitakia mwenyewe. Ngoja dose imuingie vizuri.
Wewe unaniringishia kukaa na wazungu?Wakati watu tumeishi na wazungu? Naheshimu tu JF, kwa hio sitakurudishia. Ila Ole wako nikufahamu halafu tukutane siku moja. Utalia machozi [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa kama una bichwa zito nikufanyaje?Chagua adhabu inayowafaa watu wenye ulemavu wa ubongo kama wewe.
Hujui na hujui kama hujui.
Mwenzako nimetembea na kukaa na raia wa nchi karibu zote duniani na nikiishi ugenini nainasa lugha ya sehemu husika chapchap wewe bado unajigamba na kiingereza chako uchwara.
Huko nilishahama tangu miaka ya tidini huko.
Hakuna kitu sijui aisee.Na uelewe vijana wanakosa opportunity nyingi sana za kujiajiri sababu ya kutojua English na Computer. Tayari umeshapewa capital (mbuga za wanyama). Vijana wanachohitaji ni computer skills ili wafanye marketing online na good language skills pia. Hilo nimeliona Tz. Yani wanakosa opportunity na utalii ambao ungewezesha wengi sana unawezesha wachache tu. Magari nk.. mtu anaweza kukodi tu.
Mkuu kama maneno mazuri yapo kwanini tutumie mabaya? Natamani kuona hekima iliyo ndani yako na ikuongoze vyema... Huu mjadala ni chachu nzuri sana ya kujifunza but kutofautiana kwenu kunafanya mnatoka nje ya mada na kutusiana wich is not healthy for the topic.Ndio watanzania Lugha yetu ni Kiswahili.
Kuna nchi ndani ya Africa lugha ya Taifa ni kiingereza na raia wote wanazungumza kiingereza.
Ila kwa vile unakurupuka kama mwanamke aliyefumaniwa hukuelewa.
Huyo jamaa alinianza kunishobokea nilikuwa naongea na mtu mwingine akavamia.Mkuu kama maneno mazuri yapo kwanini tutumie mabaya? Natamani kuona hekima iliyo ndani yako na ikuongoze vyema... Huu mjadala ni chachu nzuri sana ya kujifunza but kutofautiana kwenu kunafanya mnatoka nje ya mada na kutusiana wich is not healthy for the topic.
But you can make it in a better way and bring more positivity, me too I would like to learn and am pretty sure I ain't alone so by using nice and kind-hearted words many people will come.
Argue with yourself! I am signing off because "if you argue with a fool, you will also look foolish," and I am better than that. Therefore, I am out!. I have better things to do.Hakuna kitu sijui aisee.
Huko kwenye utalii nilishazama vilevile.
Ilivyokuja Corona sekta ya utalii ilikuwa ni ya kwanza kufa kifo cha mende nikarukia fani nyingine chap,wakati watu wa utalii wanalialia hali mbaya mimi nimejificha kwenye chaka lingine nawachora tu.
Niko multipurpose mzee usikariri maisha utaangukia pua.
That was only caused your arrogance and insanity as well.Talk to your guy mbu ya dengue. He started this argument in a malodorous way, and I am not going to let anybody disrespect me. Anyway, I am signing off. If you argue with a fool, you will also look foolish; I am better than that, so I am out!.
Thanks for understanding and position your self as special person so that others can can see the special in you!! That's true definition of mental maturity. Thumbs upTalk to your guy mbu ya dengue. He started this argument in a malodorous way, and I am not going to let anybody disrespect me. Anyway, I am signing off. If you argue with a fool, you will also look foolish; I am better than that, so I am out!.
I hope its over as you said broh!! changes that seem small andHuyo jamaa alinianza kunishobokea nilikuwa naongea na mtu mwingine akavamia.
So mimi kawaida yangu mtu akinianza huwa namaliza.