Naomba Msaada. Nifanyeje ili niweze kupona ini?

Naomba Msaada. Nifanyeje ili niweze kupona ini?

Pole sana ndugu yangu. Kwanza kabisa usi-panick kwani kuugua ni jambo la kawaida kwa sisi binadamu. AST kuwa juu inaonyesha pengine una tatizo kwenye ini. Kwa hiyo kitu cha kuzingatia, ni kwenda kwa dr bingwa afanye diagnosis ya liver kuona una tatizo gani. Ni vigumu kujua linaweza kuwa tatizo gani bila dr kukufanyia vipimo.
Ahsante mkuu
 
Kafanye Vipimo Vya Ultrasound au kama Ukiweza zaidi fanya CT scan ya Liver ,Billiary tract na Hata gallBladder..
Na pia Usisahau Kupima KUB USS..

Kama AST level Iko Normal huenda unaweza ukawa na Gallstones,Acute Cholecystitis Biliary Colic au Acute Pancreatitis..

Maybe Lets check on Biliary Obstruction signs..


Unatapika??
Choo kina Rangi gani??
MKojo una Rangi Gani??
Unawashwa mwili??
Choo kina muonekano wa Mafuta mafuta au ni kama mafuta Kilaini sana??
Tumbo linapoa kwa Dawa za kunywa za maumivu??

na Tumbo linauma Sana wakati gani ukila Vyakula vya mafuta Linakuaje??
1. Mkojo ni wa njano sana
2. Kinyesi ni brown hakina mafuta
3. Maumivu ni wakati wowote tu yanakuja na kupotea.
4. Kutapika hapana ila napata kichefuchefu sometimes.
 
1. Mkojo ni wa njano sana
2. Kinyesi ni brown hakina mafuta
3. Maumivu ni wakati wowote tu yanakuja na kupotea.
4. Kutapika hapana ila napata kichefuchefu sometimes.
So most Likely Ni Obstruction Kafanye vipimo Ndugu yangu Sana sana USS au CT scan..

Maana inaonekana Dalili la Cholecystitis na Obstruction zipo.Japo Ni Early signs
 
Back
Top Bottom