Naomba Msaada. Nifanyeje ili niweze kupona ini?

Ahsante mkuu
 
1. Mkojo ni wa njano sana
2. Kinyesi ni brown hakina mafuta
3. Maumivu ni wakati wowote tu yanakuja na kupotea.
4. Kutapika hapana ila napata kichefuchefu sometimes.
 
Jaribu kwenda hospitali nyingine kubwa ukapate ushauri wa madaktari wa huko.
 
1. Mkojo ni wa njano sana
2. Kinyesi ni brown hakina mafuta
3. Maumivu ni wakati wowote tu yanakuja na kupotea.
4. Kutapika hapana ila napata kichefuchefu sometimes.
So most Likely Ni Obstruction Kafanye vipimo Ndugu yangu Sana sana USS au CT scan..

Maana inaonekana Dalili la Cholecystitis na Obstruction zipo.Japo Ni Early signs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…