Naomba msaada nimepata tatizo la vipele kwenye úume

Naomba msaada nimepata tatizo la vipele kwenye úume

Habari ya wakati huu

Nimepatwa na tatizo la vipele kwenye uume sio kwenye kichwa ni kwenye ngozi ya uume haviumi wala haviwashi kimuonekano kama unavyoona kwenye picha hapo.

Mara ya mwisho kukutana na mwanamke bila kinga ni mwaka mmoja uliopita na mara zote nimekuwa nikitumia kinga au abstain from sex.

Genital hygiene huwa sivai nguo ya ndani bila kuipiga pasi na kubadilishwa kila mara

Kama kuna dawa au njia nzuri ya kuweza kukabiliana navyo naomba msaada [emoji1488]

View attachment 2717835
Sijui kama itakusaidia,,, niliwahi kuteleza Kwa limalaya limoja bila kujua yule mwanamke ni kimbulu,, nadhani baada ya siku Moja nilitokewa na hivyo vipele......niliweka dawa ya fangasi(powder) ikawa Kwisha habari yake na ugonjwa ukatoweka sijawahi kuushuhudia Tena.



Nb. Hiyo njia siwez sema kama itakusaidia kwasabab Mimi sio dokta
 
Back
Top Bottom