dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
mpaka nimetaka kutapikaNi hatari sana kaka,hasa umekula zako vyombo hujielewi kisha unaenda kufakamia maliar tena mnazima na taa kabisa ili umfaidi!
ugonjwa gani huo ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mpaka nimetaka kutapikaNi hatari sana kaka,hasa umekula zako vyombo hujielewi kisha unaenda kufakamia maliar tena mnazima na taa kabisa ili umfaidi!
Dawa ipi mkuu,inaitwaje na kama unauza unauzaje bei gani?Mimi dawa ninayo
Mkuu iyo silver nitrate pencil ni bei gani?duu hapo vilipofika ni kisangaaa ila atumie silver nitrate pencil kuvichoma anywe na acyclovir tab 40mg tds siku 5.
Dawa yake ni nini?Umepqta ugonjwa unaitwa hpv hizo ni warts😪
Dawa ipi iyo mkuu?Good. Kuna dawa yake ya kupaka. Simple atapona.
Nakaziamkuu umepona? na kama umepona umetumia dawa gani?
Mtumishi tiba ingine ipo?Hakikisha unakula matunda kama machungwa ili kuongeza kinga ya mwili, kinga ikiwa vizuri vitakwisha vyenyewe.
Na wewe una warts mkuu je umetumia dawa?Usiogope wengi tunavyo ila sio vikubwa kama vyako kama unao ili usituambukizie pisi zetu please Endelea kutumia kinga.
Dawa yake ni nini?Genital warts
Tiba yake ni nini?warts(hpv) hiyo
pole sana
Hazina dawa kwel?Warts , hazina dawa ila zinapona haraka ukifata ushauri wa kitaalam, Google kuhus warts ukizijua hazitakusumbua kisha muone daktar
Inasaidia kwel?Tafuta utamvu wa papai ule mweupe upake
Sijui kama itakusaidia,,, niliwahi kuteleza Kwa limalaya limoja bila kujua yule mwanamke ni kimbulu,, nadhani baada ya siku Moja nilitokewa na hivyo vipele......niliweka dawa ya fangasi(powder) ikawa Kwisha habari yake na ugonjwa ukatoweka sijawahi kuushuhudia Tena.Habari ya wakati huu
Nimepatwa na tatizo la vipele kwenye uume sio kwenye kichwa ni kwenye ngozi ya uume haviumi wala haviwashi kimuonekano kama unavyoona kwenye picha hapo.
Mara ya mwisho kukutana na mwanamke bila kinga ni mwaka mmoja uliopita na mara zote nimekuwa nikitumia kinga au abstain from sex.
Genital hygiene huwa sivai nguo ya ndani bila kuipiga pasi na kubadilishwa kila mara
Kama kuna dawa au njia nzuri ya kuweza kukabiliana navyo naomba msaada [emoji1488]
View attachment 2717835