A
Anonymous
Guest
Habari ndugu yangu, samahani. Naitwa Paulo Leopold Peter, ninapatikana Mkoa wa Manyara, Wilaya ya Mbulu. Kwa sasa nipo Hospitali ya Haydom.
Nina changamoto yangu ambayo imenifanya niombe msaada. Nimevunjika uti wa mgongo na nimepooza kuanzia kitovuni kwenda chini. Sina mawasiliano kabisa katika sehemu hiyo ya mwili na nimelala kitandani kwa takribani miaka mitano. Pia, nimepoteza uwezo wa kudhibiti haja zangu zote.
Ninakuomba msaada. Ombi langu kwako ni kupata sapoti yako ya kuniposti kupitia mitandao yako ili Watanzania wenzangu waweze kuniona na kunisaidia, maana ninapitia changamoto nyingi sana.
Ombi langu kubwa ni kupata matibabu ya physiotherapy. Pia, nimepata vidonda vikubwa kwenye mapaja na makalio ambavyo vinanitesa sana. Ninaomba msaada ili niweze kupata matibabu.
Familia yangu ina hali ngumu ya kiuchumi. Kwa miaka mitano wamejitahidi kunisaidia, pamoja na msaada kutoka kwa ndugu, jamaa na marafiki. Hata hivyo, kwa sasa hali imekuwa mbaya, hivyo nimeona nijitokeze mitandaoni ili niweze kupata msaada zaidi kutoka kwa Watanzania wenzangu.
Mahitaji yangu makubwa ni kupata mazoezi ya physiotherapy, matibabu ya vidonda, mipira ya mkojo na mahitaji mengine mengi. Bado tunaishi kwenye nyumba ya kupanga, na mimi ninaishi na baba yangu pamoja na dada yangu.
Kwa mawasiliano, namba ni 0682061770, jina Crispian Kauky. Namba hiyo imesajiliwa kwa jina la rafiki yangu kwa sababu mimi sina namba ya NIDA.
Pia, hiyo ni video niliyowahi kuhojiwa muda si mrefu uliopita, lakini sikufanikiwa kupata msaada wa kutosha. Nimeona niombe msaada zaidi kwa wadau kama wewe ili mnisaidie kusambaza taarifa zangu kwa watu wengi zaidi.
Hivyo ndivyo nilivyo kwa sasa. Samahani kama nitakuwa nimekukera kwa picha hizi, lakini huo ndio ukweli wa hali yangu kwa sasa.
Ninakuomba sana ndugu yangu, nisaidie angalau niweze kupata matibabu na msaada kutoka kwa Watanzania wenzangu.
Kwa mawasiliano: 0682061770 – Crispian Kauky.