Naomba msaada, nimevunjia uti wa mgongo na nimepooza kuanzia kitovuni kwenda chini

Naomba msaada, nimevunjia uti wa mgongo na nimepooza kuanzia kitovuni kwenda chini

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Pole sana, anzia hukohuko kwanza kwa mkuu wa wilaya yako, mkuu wa mkoa pamoja na viongozi wako wa dini. Naamini watakuwezesha. Mimi nikijaaliwa hata elfu kadhaa nitakutumia ndugu yetu
 
Pole Sana
Thread Ipo Sehemu Sahihi Wizara Ya Afya Iione Hii
Wana JF Tumelibeba Na Number Ipo Ya Kuweka Chochote
 
Back
Top Bottom