Naomba msaada,Nitamtambuaje msichana kama alishatoa mimba?

Naomba msaada,Nitamtambuaje msichana kama alishatoa mimba?

Ukiuona huu mstari, ujue tayari manyoya huyo.
attachment.php

muongo.s kweli na mapcha yako hayo.huo mtari kila mdada anao..tena wengne huonekana sana than wengne.lakn hii haimaansh kama katoa au kazaa tayar.
 
Chuchu za mtu aliyezaa ama kutoa mimba huwa nyeusi tofauti na mng'ao wake wa awali wa pink ama brown inayoendana na rangi yake ya ngozi kwenye titi

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Ipo njia nayo pia ni ngumu. Mwanamke ambaye hajawahi kushika mimba cervix inakuwa na alama ya nukta (.). Ila ambaye ameshashika mimba inakuwa ana alama ya desh (-). Tafuta daktari akusaidie kujua muonekano wa hiyo kitu.

hilo neno cervix halina kiswahili??
 
Utasubiri sana kumjua
Ndg uliyeweka picha cha tumbo kwamba mstari ni unaonesha mwanamke keshatoa mimba, sio kweli kabisa, acha kupotosha
 
Nashukuru wakuu, nimepata majibu matatu.
 
Msinitukane tafadhali, ningependa kujua juu ya hili suala maana ishu ya kutoa mimba ina madhara makubwa hasa kama imefanyika zaidi ya mara moja. Ni njia zipi au ni sehemu zipi za kumchunguza uliye naye ili kubaini kama alishafanya huo uovu? Mwenye uelewa tafadhali anijulishe na wengine pia wafahamu maana dunia ya sasa ni noma! Siku hizi kuna artificial bikin! Nimepeleka jf doctor ckupata huko jibu!

Nenda kasome mhimbili miaka mitano tu.
 
Mie baada ya kuvunja ungo niliupata huu mstari mrefu kuanzia chini mpaka kwenye kitovu hapo sijamjua hata mwanaume,
Hii mistari mpaka mimba iwe kubwaa ikiwa ndogo ni huonekana kidogo halafu kuna wengine hua wana mistari lakini sio mirefu sanaa
 
Huu mstari nimeanza kuuona baada ya demu wangu kupata ujauzito...kadri siku zilivyokuwa zinaenda ndo ulikuwa unazidi kuqa mweusi na kupanda juu.....sasa hapo unanichanganya kidogo
 
kwa ufupi swali lako ni tata ila uje kuwa katika hali ya kawaida huwezi kujua mtu katoa mimba kwa kuangalia pia kuna njia tofauti za kutoa mimba na mojawapo ni kutanua shingo ya uzazi na kukwangua kizungu ni dilatation and curatage na hapo utakuta sehemu iliyongatwa na kafaa kinaitwa tenecultm au volselum kwenye mdomo wa mbele wa shingo ya uzazi jkama katolewa kitaalam .pia anaweza akawa mimba imeharibika yenyewe na haikutoka na akasafishwa na ukaona hiyo hali
 
We jaw ww! Acha uongo bana! Hio line huwa inawatokea walikwisha kugegedwa na kushikishwa kibendi!

Ww kama ulikuwa huwajui wanaume,, basi itakuwa ulikuwa unawajua wavulana!

Happy valentine jaw!

Mie baada ya kuvunja ungo niliupata huu mstari mrefu kuanzia chini mpaka kwenye kitovu hapo sijamjua hata mwanaume,
 
Af ukishajua kama katoa?SO WHAAAT...
Navojua miye ,sio siri abortion zinafanyika nyingi sanaaaa..hata na walio kwenye ndoa,..
 
kwa ufupi swali lako ni tata ila uje kuwa katika hali ya kawaida huwezi kujua mtu katoa mimba kwa kuangalia pia kuna njia tofauti za kutoa mimba na mojawapo ni kutanua shingo ya uzazi na kukwangua kizungu ni dilatation and curatage na hapo utakuta sehemu iliyongatwa na kafaa kinaitwa tenecultm au volselum kwenye mdomo wa mbele wa shingo ya uzazi jkama katolewa kitaalam .pia anaweza akawa mimba imeharibika yenyewe na haikutoka na akasafishwa na ukaona hiyo hali

duh! Kazi ipo'
 
Back
Top Bottom