bribrii
Senior Member
- Jan 25, 2014
- 110
- 21
Ukiuona huu mstari, ujue tayari manyoya huyo.
![]()
muongo.s kweli na mapcha yako hayo.huo mtari kila mdada anao..tena wengne huonekana sana than wengne.lakn hii haimaansh kama katoa au kazaa tayar.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiuona huu mstari, ujue tayari manyoya huyo.
![]()
Ukiuona huu mstari, ujue tayari manyoya huyo.
![]()
Ipo njia nayo pia ni ngumu. Mwanamke ambaye hajawahi kushika mimba cervix inakuwa na alama ya nukta (.). Ila ambaye ameshashika mimba inakuwa ana alama ya desh (-). Tafuta daktari akusaidie kujua muonekano wa hiyo kitu.
Kwa iyo unataka uthibitisho wa daktari mwenzangu ndo uamnini?
Nakubaliana na wewe kwa dizaini fulani coz huo mstali ni dalili ya mama mjamzito..so kwa vyovyote hata kama kazaa au katoa mimba dalili ya kwanza ni hiyo..Ukiuona huu mstari, ujue tayari manyoya huyo.
![]()
Msinitukane tafadhali, ningependa kujua juu ya hili suala maana ishu ya kutoa mimba ina madhara makubwa hasa kama imefanyika zaidi ya mara moja. Ni njia zipi au ni sehemu zipi za kumchunguza uliye naye ili kubaini kama alishafanya huo uovu? Mwenye uelewa tafadhali anijulishe na wengine pia wafahamu maana dunia ya sasa ni noma! Siku hizi kuna artificial bikin! Nimepeleka jf doctor ckupata huko jibu!
Hii mistari mpaka mimba iwe kubwaa ikiwa ndogo ni huonekana kidogo halafu kuna wengine hua wana mistari lakini sio mirefu sanaa
Mie baada ya kuvunja ungo niliupata huu mstari mrefu kuanzia chini mpaka kwenye kitovu hapo sijamjua hata mwanaume,
hilo neno cervix halina kiswahili??
kabla sijajibu swali lako jibu langu UNGEMKUTA NA MTOTO AU WATOTO UNGEMUOA?
kwa ufupi swali lako ni tata ila uje kuwa katika hali ya kawaida huwezi kujua mtu katoa mimba kwa kuangalia pia kuna njia tofauti za kutoa mimba na mojawapo ni kutanua shingo ya uzazi na kukwangua kizungu ni dilatation and curatage na hapo utakuta sehemu iliyongatwa na kafaa kinaitwa tenecultm au volselum kwenye mdomo wa mbele wa shingo ya uzazi jkama katolewa kitaalam .pia anaweza akawa mimba imeharibika yenyewe na haikutoka na akasafishwa na ukaona hiyo hali