Naomba msaada,Nitamtambuaje msichana kama alishatoa mimba?

Naomba msaada,Nitamtambuaje msichana kama alishatoa mimba?

Mh, maswali mengine bhana kazi kweli kweli!! Hapa sina hakika kama utapata msaada wowote kutoka kwa akina dada kwani % kubwa ya waliomu humu wameshanyofoa sana.
 
mmmh!kwa huo mstar mweuc bado cjaamini kwan mbona mdogo wang ndo kwanza anamiaka 2 anao au nae kaabort.
 
Wewe ukimkamua matiti yake sehemu ya chuchu na yakitoa maji maji kama maziwa halafu yatoke mengi mengi kila unapobinya, ujue tayari kazi kwishney
 
Back
Top Bottom