Msandawe Halisi
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 647
- 351
Mie baada ya kuvunja ungo niliupata huu mstari mrefu kuanzia chini mpaka kwenye kitovu hapo sijamjua hata mwanaume,
Na kabla ya ujawahi kutoa mimba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie baada ya kuvunja ungo niliupata huu mstari mrefu kuanzia chini mpaka kwenye kitovu hapo sijamjua hata mwanaume,
Chuchu za mtu aliyezaa ama kutoa mimba huwa nyeusi tofauti na mng'ao wake wa awali wa pink ama brown inayoendana na rangi yake ya ngozi kwenye titi
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
nairo aatonyora kwakweli yo genious gal.
njia nzuri na nyepesi nikumuuliza tu....
unadhani atasema?, ukweli
Huu mstari nimeanza kuuona
baada ya demu wangu kupata ujauzito..