Tujaghe_Kokaya
Member
- Sep 1, 2014
- 47
- 10
Tcu waanza kutema cheche.
Wakuu kwanza msipanic, kama umeandikiwa proceded means wewe directly umekubaliwa katika kozi zote5 ulizoaply lakini utachaguliwa kozi moja tu kati ya hizo 5 ulizoaply so usiwe na hofu,
Wewe pia uliyepewa choice ya kuaply second round just make sure muda ukifika uaply kozi 1 tu waliyookulimit tena kwa haraka isije ikajaa. Over
Mpaka hatua hii unaweza kufahamu kozi uliyochaguliwa kwa kufanya hivi:
weka "mouse"yako kwenye code ya kozi uliyoichagua,ile inayoonyesha figures za capavity available,applicants applied nk ndiyo uliyopata, zinazoonyesha Ziro ie. capacity available up to now 0.....yaani kila kitu ni 0 hiyo holaaaaaa,umekosa.
Source: mimi ni mtu wa "machale"!
Okay okay maana kuna watu hapa tushapanic hahaha mbwembwe za chuo hizi hahaha
Acha upotoshaji wewe kijana uliza ujibiwe na sio kukurupuka.
mi nimeambiwa sikufanya lakini status ni processed na in progress
wap tena ndg yang
coz nimeandikiwa successful.
Unapoandika habari za tcu kwa dakika hizi you should be brief and understandable. Sasa hapo umeandika kama unakurupushwa
post zenyew bado!! Mbwembwe tuu
halafu unajuaje kama umepata chuo husika?
Yaan nimeboeka kichz awa tcu wanakera....
yani haya si majanga jaman?kuna mchizi cbg mwaka f6 2013 alipata div3 ya 14,chem E,geo E,bio D,gs F,bam F,jamaa anapenda geology,pharmacy,medical lab,md&nursing so akajitosa kurisit bahati mambo yamekuja level f6 2014 amepata dv2 point 9, gs D,chem B,bio B,geo B,bam C then akaaply md(cuhas),bpharm (stjohn),bsc nursing(muhas),bsc geology(udsm)&b of nursing (stjohn)..et anasema leo kaingia kwny akaunt yake kakuta kaandikiwa "SORRY YOU HAVE NOT YET DONE APPLICATION WELCOME TO 2ND ROUND APPLICATION"..ina maana hawa tcu huwa wana consider kwanza applicants waliomaliza f6 mwaka huo wa application?mbona kuna wenye dv3 za point 13 mwaka huu akaunti zao hazijazinguliwa na ukiangalia wameapply sehemu zenye competition mpaka hapa hakuna hata umaana wa tcu jamani