Naomba msaada, TCU profile inaonesha sikufanya application

Naomba msaada, TCU profile inaonesha sikufanya application

Wakuu kwanza msipanic, kama umeandikiwa proceded means wewe directly umekubaliwa katika kozi zote5 ulizoaply lakini utachaguliwa kozi moja tu kati ya hizo 5 ulizoaply so usiwe na hofu,

Wewe pia uliyepewa choice ya kuaply second round just make sure muda ukifika uaply kozi 1 tu waliyookulimit tena kwa haraka isije ikajaa. Over
 
Okay okay maana kuna watu hapa tushapanic hahaha mbwembwe za chuo hizi hahaha
 
Mpaka hatua hii unaweza kufahamu kozi uliyochaguliwa kwa kufanya hivi:
weka "mouse"yako kwenye code ya kozi uliyoichagua,ile inayoonyesha figures za capavity available,applicants applied nk ndiyo uliyopata, zinazoonyesha Ziro ie. capacity available up to now 0.....yaani kila kitu ni 0 hiyo holaaaaaa,umekosa.
Source: mimi ni mtu wa "machale"!

Acha upotoshaji wewe kijana uliza ujibiwe na sio kukurupuka.
 
Hiv mbona mm nkiingia kwangu wananiambia naweza kufanya editin mpk trh 12 mwez huu
 
yani haya si majanga jaman?kuna mchizi cbg mwaka f6 2013 alipata div3 ya 14,chem E,geo E,bio D,gs F,bam F,jamaa anapenda geology,pharmacy,medical lab,md&nursing so akajitosa kurisit bahati mambo yamekuja level f6 2014 amepata dv2 point 9, gs D,chem B,bio B,geo B,bam C then akaaply md(cuhas),bpharm (stjohn),bsc nursing(muhas),bsc geology(udsm)&b of nursing (stjohn)..et anasema leo kaingia kwny akaunt yake kakuta kaandikiwa "SORRY YOU HAVE NOT YET DONE APPLICATION WELCOME TO 2ND ROUND APPLICATION"..ina maana hawa tcu huwa wana consider kwanza applicants waliomaliza f6 mwaka huo wa application?mbona kuna wenye dv3 za point 13 mwaka huu akaunti zao hazijazinguliwa na ukiangalia wameapply sehemu zenye competition mpaka hapa hakuna hata umaana wa tcu jamani

kiasi flani ina ukweli
 
Hongereni sana kwa kufanikiwa hatua ya kwanza muhimu, hapo sasa hamna haja ya presha sababu utachaguliwa kozi mojawapo wa hizo ulizoaply,
 
Back
Top Bottom