Naomba msaada, TCU profile inaonesha sikufanya application

Naomba msaada, TCU profile inaonesha sikufanya application

Ukiona hivyo inabidi ufurahi na umshukuru Jehova, kwani hapo umekubaliwa katika kozi zote 5 ulizojaza lakini TCU watakuchagua ktk kozi moja tu kutoka katika hizo5.. So hauna haja ya presha kwani haupo kundi la watu wa second round.
 
dah haya majanga ni kwa wengi maybe tusubiri kesho tuone kama kutakuwa na mabadiliko zaidi
 
kama tcu wametema cheche kaeni mbali vijana msije mkaungua!
 
m mwenyewe nilipata div. 3 ya 14 2012 yan BSS comb pcm nimerisit mwaka huu nkapata C ya phy bt wamentema
 
msihangaike sana tcu imetoa majina ya form 6 applicants not selected. so wanatamiwa kufanya second round kama unatKa kujua upo au haupo nitumie jina lako na namba yako ya shule au nicheki whatsapp 0768803480
 
Jaman mm nimeingia kwenye link ya second round! Nikachagua mwenge university college of education !mara wakanitumia sms you are successively selected!je inamaana tayari watanipeleka kwenye hicho chuo au bado kuna mchakato unaoendelea???
 
TCU wametoa majina ya watu waliokosa nafasi kwenye round ya kwanza kutokana na masomo waliochagua kuwa na ushindani mkubwa. Jumla ya wanafunzi zaidi ya 12,000 wanatakiwa kufanya application kwa mara ya pili lakini kwa kutumia vocha zile zile walizonunua. Ambao hawakuapply mara ya kwanza pia wanaweza kuapply sasa.

Unaweza kuyasoma majina hayo na kudownload PDF hapa kwenye MyElimu.com Majina Ya Wanafunzi Wanaotakiwa Kufanya Second Round Application
 
Jaman mwaka huu wetu,tcu wanatukomoa! Hv ukiona JAOO3 AU JD009. Hzo n code number za vyuo gan?? Msaada jmn
 
Umu wanasema u have successifully been selected but swali ni kwamba ukiclick pale kwenye application unakuta page ya second selection

kama umeandikiwa processed successfully. you have been selected. hilo neno application u
automatic unaona maandishi yake yamefifia sio meusi kama hayo mengine yanayofuatia na hata ukicrick hakuna response. so umiona umecrick na imeresponse basi we upo unzelected
 
Back
Top Bottom