Madege
JF-Expert Member
- Dec 8, 2011
- 530
- 109
Jaman mm nimeingia kwenye link ya second round! Nikachagua mwenge university college of education !mara wakanitumia sms you are successively selected!je inamaana tayari watanipeleka kwenye hicho chuo au bado kuna mchakato unaoendelea???
ukiambiwa second round unapewa vyuo vya kuchagua na unaambiwa uchague kimoja tu. so ulichochagua ndio hichohicho hakuna mchakato mwingine. so wewe ni wa mwenge ila kama hujakpenda badilisha mapema