Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
then sijui ilikuwaje as tulijaza ya kwanza ikagoma ...tukaweka nyingine but now zinaonekana zote
Natumia simu hivyo kitufe cha like sikioni,mkuu hapo ulipogusa ndio mtego uliotunasa wengi wetu! Wale mnaochagua mara ya pili kuweni makini na hilo!inawezekana wakati una apply pale chini hukuweka tiki kwenye vibox 2 vyenye maandishi mekundu - moja wapo ikihusu kukubali kuwa mkopo sio automic kuupata.
AU ulifanya editing ya chaguo lako na tene huku save changes au na kukubali zile conditions 2 pale chini.
ningekushauri hata kwenye 2nd round uziangalie conditions na kusave mabadiliko
zinaonekana zote za second round
Mdogo wangu ana four( CDD) kapata chuo, hapa ujanja tuu wa kuchagua kozi, madogo kibao wa sayansi wenye 3 ya point 11 wameomba Md, eng. N.k wamekosa vyuo.
second round si walisema moja tu....
mi mwenyewe mmoja nna wahanga na jana nilikuwa tcu,wakichonambia wanasema watu wakioapply ni wengi sana mara tatu ya mwaka jana na mtandao umewatema wengine...so haijaliahi ulikuwa na point ndogo au nyingi......TCU majanga jamaniii...diploma inanihusu