Naomba msaada, TCU profile inaonesha sikufanya application

Naomba msaada, TCU profile inaonesha sikufanya application

unawezaje kubadilisha kozi uliyoiweka kwenye second round application??
 
mi mwenyewe mmoja nna wahanga na jana nilikuwa tcu,wakichonambia wanasema watu wakioapply ni wengi sana mara tatu ya mwaka jana na mtandao umewatema wengine...so haijaliahi ulikuwa na point ndogo au nyingi......TCU majanga jamaniii...diploma inanihusu
 
Daaah kwani una point ngapi.?? Si uchague vyuo ambavyo vina less competition
 
then sijui ilikuwaje as tulijaza ya kwanza ikagoma ...tukaweka nyingine but now zinaonekana zote
 
inawezekana wakati una apply pale chini hukuweka tiki kwenye vibox 2 vyenye maandishi mekundu - moja wapo ikihusu kukubali kuwa mkopo sio automic kuupata.

AU ulifanya editing ya chaguo lako na tene huku save changes au na kukubali zile conditions 2 pale chini.

ningekushauri hata kwenye 2nd round uziangalie conditions na kusave mabadiliko
Natumia simu hivyo kitufe cha like sikioni,mkuu hapo ulipogusa ndio mtego uliotunasa wengi wetu! Wale mnaochagua mara ya pili kuweni makini na hilo!
 
Mdogo wangu ana four( CDD) kapata chuo, hapa ujanja tuu wa kuchagua kozi, madogo kibao wa sayansi wenye 3 ya point 11 wameomba Md, eng. N.k wamekosa vyuo.
 
Watu wa diploma waulizeni NACTE, mwaka jaea ilikua nafasi TCU zipo ,nacte hamna, ingawa system ni moja lakini kila taasis imepewa idadi yake ya wahitajiwa,NACTE Kuzuri, kama una matatizo katika ku apply ama system yako haileweki unapewa nafasi ya kujaza pale pale.

NB. Usiweke miguu nyumbani utalia nenda kwa wahusika upate uhakika , wengi mitaani hawana ukweli halisi wa kinachotokea.
 
system ina matatizo .inachosema na inachofanya ni tofauti
 
mi mwenyewe mmoja nna wahanga na jana nilikuwa tcu,wakichonambia wanasema watu wakioapply ni wengi sana mara tatu ya mwaka jana na mtandao umewatema wengine...so haijaliahi ulikuwa na point ndogo au nyingi......TCU majanga jamaniii...diploma inanihusu

na wewe ndo umeandika nn sasa hapa???...no wonder why umechaguliwa 2nd round
 
system ya tcu . ilizingua .haya majina ni ya watu walio apply mwanzo kabisa
 
Chagua coz na chuo kulingana na ufaulu wako mi mwenyewe nina four ya PCM tena ni DDE na nimepata chuo
 
Back
Top Bottom