Naomba msaada, TCU profile inaonesha sikufanya application

Naomba msaada, TCU profile inaonesha sikufanya application

Jaman mm nimeingia kwenye link ya second round! Nikachagua mwenge university college of education !mara wakanitumia sms you are successively selected!je inamaana tayari watanipeleka kwenye hicho chuo au bado kuna mchakato unaoendelea???

ukiambiwa second round unapewa vyuo vya kuchagua na unaambiwa uchague kimoja tu. so ulichochagua ndio hichohicho hakuna mchakato mwingine. so wewe ni wa mwenge ila kama hujakpenda badilisha mapema
 
kiasi flani ina ukweli
Hapana wanaangalia ushindani,mimi nilimaliza 2003 tosa pcb nilipata DEE nimeomba KIU nimepata bpharm,jumla tuliomba 204 wenye sifa walikuwa 164 waliomba chaguo la kwanza walikuwa 36 tu,

Lakini bpham catholic university waliomba watu 1280 wanahitajika 7,Ushauri wangu kama unaweza kujilipia salio litakalobaki bada ya mkopo njoo KIU
 
kwanini msiwasiliane na tcu ?​ mnadhani nani atawasaidia hapa????
 
nimefanya second round application ya tcu nikicheki kwenye profile yangu inaniambia i am not eligible lakini kwenye selected program inaonyesha hiyo kozi je nitakua nimechaguliwa msaada tafadhali
 
Tuanzie hapa kwanza, hiyo taarifa ya wewe kuwa second round umekuta sehemu au kwenye view my selection status?
 
Kwani ndugu umefika minimum admission point za. Chuo husika ,??
 
Tuanzie hapa kwanza, hiyo taarifa ya wewe kuwa second round umekuta sehemu au kwenye view my selection status?

nimeikuta kweny view my selection status na nikaomba tena baada ya muda ikaniandikia i am not eligible lakini nkienda kwenue selected program ipo io inakuaje mkuu
 
Mmh. Pengine competition tena....wewe jaribu tena uone kwa course tofauti na hiyo.
 
hata mimi nimefanya aplication kwenye kila kozi inaniandia am not eligible lakini nikienda kwenye selected programs ile niliiomba ya kwanza ndio ipo
 
Kwani ni programme gani??? Hiyo ambayo umeiweka second round
 
Mmh. Pengine competition tena....wewe jaribu tena uone kwa course tofauti na hiyo.

zote nnazojaribu nimemeet requirements ila zinaniandikia not eligible ila pale kwenye selected program inaonekana ile niliyoomba ya kwanza
 
nimeikuta kweny view my selection status na nikaomba tena baada ya muda ikaniandikia i am not eligible lakini nkienda kwenue selected program ipo io inakuaje mkuu

Sasa kamanda kama hivyo pitia kwanza yale majina ya TCU ili uprove kama na wewe upo coz mda mwingine ni udhaifu wa system yenyewe,
Pia ukicomfirm kweli kuwa upo second round bas jaribu mara kwa mara koz system bado haijaruhusu watu waanze kuaply muda huu.
 
kwanini msiwasiliane na tcu ? mnadhani nani atawasaidia hapa????

huyo anaechezea vichwa vyetu tcu, nimeshangaa kuna jamaa ana div 1 point 7 PCB, ila na yeye kaambiwa arudie
 
Back
Top Bottom