Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji120] [emoji120] [emoji120]ok sawa
Mkuu umri wako unamiaka mingapDaah cjui nimtag wife asome hii
Mkuu uspanie kuwa utapiga shoo yakibabe,then kabla ya mechi kunywa maziwa fresh nusu lita na ndizi mbivu ukipata tikiti maji kula pande na mbegu zake,baada ya dakika jiandae kuanza mechi bila hofu,mashine ikisizi tena niambie
Mkuu umri wako unamiaka mingap
28 umefika au badoUmri haumati hapo mkuu.
Umri wangu ni over 22
Maana mkuu nami nashida kama yako hivo hivo kila kitu kama ulivoelezea na mim ni hivo hivo ila mim nina miak31.ukifanikiwa kulitatua tatizo tufahamishane tiba au suluhu yakeUmri haumati hapo mkuu.
Umri wangu ni over 22
Wacha mkuu nitafanya hivyo.
Jee maziwa natia sukari?
Ni ya moto?
Nakula pamoja na ndizi au nitofautishe mda wa kula kila kimoja?
kula vyote skari usiweke nyingiWacha mkuu nitafanya hivyo.
Jee maziwa natia sukari?
Ni ya moto?
Nakula pamoja na ndizi au nitofautishe mda wa kula kila kimoja?
Sawa mkuu nitaleta mrejesho hapa hapakula vyote skari usiweke nyingi
Usifanye mazoezi kupitiliza kwa pupa na hasira,badala ya kukujenga itakuumiza,Fanya kawaida ila uwe unapanda kadri mwili unavyofungukaMkuu wacha nianze leo jioni kukimbia naanza na km 4 kwanza mana daah inakwra sana
Nikimtizama wife anapita na kanga moja au night dress jamaa anasimama bara bara ila nikiingia mzigoni daah mpaka naomba sapoti ya mkono kabisa.
Msamehe,vijana wa chuo haoUmenikosea sana adabu mkuu.
Sijawahi kuchepuka na sina mpango huo kabisa.
Samahani sana mkuu kwa kwenda kinyume na maoni yako.
Hakuna cha pepo wala kimbunga,Daaahhhh unaweza kucheka kumbe mtu anateseka.
Sababu zinaweza kuwa 2 au zaidi
Mosi😛sychological matter. Kuna jambo(siri) linakuumiza. May be lakifamilia au la kibinafsi.
Pili: Mambo ya kiroho, hapa huenda pepo au uchawi unatawala ndoa yako ili kuwaachanisha(kuvuruga).
Awekeze mawazo ktk tendo muda wote anaofanya,asiruhusu mawazo mengine,Huna tatizo ni hofu imekujaa. Anza kufanya mazoezi mepesi kila siku na kula protein sana. Kila siku jioni kwa muda wa nusu saa jaribu usifanye x kwa siku 3-4 utarudi hali ya kawaida.
Kwa tuliooa hiyo hali inatokea hasa ukifululiza sex na bila kufanya mazoezi. Pia kuzoeana kunachangia sana badilini style pia. Kila la heri
Na kwa bahati nzuri sana mafuta ya nazi ninayo na dawa ipo.Tatizo lako ni la kisaikolojia tu, weka hisia kichwani mwako kuwa dushe litamaliza bila kulegea. Pia unaweza tumia dawa hii; Nusu saa kabla ya kufanya tendo la ndoa. Chukua kiasi kidogo cha dawa ya mswaki Colgate weka kwenye kiganja cha mkono, changanya kidogo na mafuta ya nazi kisha paka kwenye uume. Mchanganyiko huo husaidia uume kusimama muda mrefu bila kulegea.
Nimemuacha mkuu mana hajui haya mambo.Msamehe,vijana wa chuo hao
Yes mkuu umenikumbusha kitu kizuri sana.Usifanye mazoezi kupitiliza kwa pupa na hasira,badala ya kukujenga itakuumiza,Fanya kawaida ila uwe unapanda kadri mwili unavyofunguka