Naomba msaada: Uume wangu hulegea wakati wa tendo

au ukue nyapu ya wife ni bwawa nn sasa huoni hata utam wake ndo maana mashine inakata moto mkijana
 
Mkuu uspanie kuwa utapiga shoo yakibabe,then kabla ya mechi kunywa maziwa fresh nusu lita na ndizi mbivu ukipata tikiti maji kula pande na mbegu zake,baada ya dakika jiandae kuanza mechi bila hofu,mashine ikisizi tena niambie
 
Wacha mkuu nitafanya hivyo.

Jee maziwa natia sukari?

Ni ya moto?

Nakula pamoja na ndizi au nitofautishe mda wa kula kila kimoja?

Mkuu uspanie kuwa utapiga shoo yakibabe,then kabla ya mechi kunywa maziwa fresh nusu lita na ndizi mbivu ukipata tikiti maji kula pande na mbegu zake,baada ya dakika jiandae kuanza mechi bila hofu,mashine ikisizi tena niambie
 
Hivi ng'ombe hunenepa siku ya mnada? Nadhani ushauri wako mzuri uwe ni tabia ya mlo wake wa kila siku maana ashaathirika sana. anavyoendelea kupiga hiyo menu kuna siku atajishtukia amepiga shoo kama vile alikuwa jela.
 
Fanya haya:
1. Umpende sana mkeo na kumuona chaguo bora kwako kuzd wapita njia.
2. Epuka kufanya mapenz kimazoea na ujiskie kuwa na hamu nae muda mwingi na hasa unapokutana nae.
3. Epuka kufanya style moja kimazoea.
4. Utundu wa mkeo pia ajitahidi kuongeza kwakuwa ufaulu wako ktk hilo unaendana na ujuzi wake syo anakutengea tu na ww unajihudumia, kama ana aibu mtoe aibu aone ni kawaida kwa raha yenu pamoja.
5. Mchombeze kwa maneno matam ajione bora kuliko wanawake wote duniani.

Itabaki stori
 
Mkuu wacha nianze leo jioni kukimbia naanza na km 4 kwanza mana daah inakwra sana

Nikimtizama wife anapita na kanga moja au night dress jamaa anasimama bara bara ila nikiingia mzigoni daah mpaka naomba sapoti ya mkono kabisa.
Usifanye mazoezi kupitiliza kwa pupa na hasira,badala ya kukujenga itakuumiza,Fanya kawaida ila uwe unapanda kadri mwili unavyofunguka
 
Hakuna cha pepo wala kimbunga,
Hilo ni tatizo either la msuli kuwahi kulegea,ambalo husababishwa na punyeto sana na kukosa mazoezi sahihi,
Au mzunguko hafifu wa damu ktk kichwa cha utupu,maana kusimama ni matokeo ya msukumo wa damu ya kutosha ktk kichwa cha tupu muda wote wa tendo,
Ama matatizo ya maradhi km kisukari,pressure nk
Au tatizo la kisaikolojia
 
Awekeze mawazo ktk tendo muda wote anaofanya,asiruhusu mawazo mengine,
Lkn kwa kuanzia
Ahakikishe yy ndo anamchezea sana mke,yani asitumie kabisa muda mrefu kuchezewa hii inatokana na tatizo la yy kuchosha uume
 
Tatizo lako ni la kisaikolojia tu, weka hisia kichwani mwako kuwa dushe litamaliza bila kulegea. Pia unaweza tumia dawa hii; Nusu saa kabla ya kufanya tendo la ndoa. Chukua kiasi kidogo cha dawa ya mswaki Colgate weka kwenye kiganja cha mkono, changanya kidogo na mafuta ya nazi kisha paka kwenye uume. Mchanganyiko huo husaidia uume kusimama muda mrefu bila kulegea.
 
Na kwa bahati nzuri sana mafuta ya nazi ninayo na dawa ipo.

Hii leo naichukua
 
Usifanye mazoezi kupitiliza kwa pupa na hasira,badala ya kukujenga itakuumiza,Fanya kawaida ila uwe unapanda kadri mwili unavyofunguka
Yes mkuu umenikumbusha kitu kizuri sana.

Mana kila nikikimbia ile picha ya uume kusinyaa katika tendo huwa inanijia akilini basi napata hasira naongezaga spidi.

Kwa ushauri mkuu nianze na kilomita ngapi kukimbiaa???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…