Mahesabu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2008
- 6,658
- 6,700
Kuna dhehebu moja la kiislam nawapenda bure, kati ya moja ya sikukuu zao huchangia damu. laiti na jamii yetu ipendayo mashindano ingebuniwa (sisi pia tushiriki) uchangiaji wa damu kwa mashindano na mabonanza.
Siku ya mechi ya simba na yanga wakati mtanange unaendelea na mashabiki nao wanashindana ni timu ipi itachangia damu nyingi zaidi. Wakati wa mechi karibia zote point pia zitaongezwa kwa timu husika.
UKAWA vs CCM, hawa nao kwa upande mmoja ama mwingine watuonyeshe ubabe wao kwa kuchangia damu kwa wingi kadri iwezekananvyo. Wabunge, viongozi wa vyama, wanachama na washabiki washiriki zoezi hili kwa level mbalimbali.
SUNNI vs. SHIA,AHMADIYYA,BAKWATA etc huku nako mtanange kama kawa, tukumbuke mtanange huu una nia njema kabisa ya kuokoa uhai wa binadamu
CATHOLIC vs. LUTHERAN, SDA, PENTECOSTE, etc
Hapa naona waumini wa Kakobe watajaribu kuwapiku wa Mzee wa upako huku Mwingira akisomba waumini wake kwa mabasi ili kupata ushindi
NB: Ruksa kuwa na majeshi ya kukodi ili kushinda
MANJI vs. MANJI hawa nao watuonyeshe uwezo wao si kwenye ugomvi wa Yanga tu ama kuitana majina ....walete watu wa kutosha kuchangia Damu
UFISADI WA LOWASA
wale wasemao jamaa fisadi na wale wasemao si fisadi washindanishwe kwa utoaji damu watakaotoa nyingi zaidi wameshinda
UDIKTETA WA LAIS
Je lais ni dikteta ama sio? hatutaki mdomo, njooni kwa makundi kutoa damu tuone akina nani wameshinda
Tukitoka kwenye DAMU tutahamia kwenye upandaji miti
MBONA KWENYE MADAWATI IMEWEZEKANA..... TUSHINDANE KUMNUSUSRU MAMA TANZANIA