Naomba msaada wa damu group O negative kuokoa maisha ya baba yangu

Naomba msaada wa damu group O negative kuokoa maisha ya baba yangu

Kuna dhehebu moja la kiislam nawapenda bure, kati ya moja ya sikukuu zao huchangia damu. laiti na jamii yetu ipendayo mashindano ingebuniwa (sisi pia tushiriki) uchangiaji wa damu kwa mashindano na mabonanza.
Siku ya mechi ya simba na yanga wakati mtanange unaendelea na mashabiki nao wanashindana ni timu ipi itachangia damu nyingi zaidi. Wakati wa mechi karibia zote point pia zitaongezwa kwa timu husika.

UKAWA vs CCM, hawa nao kwa upande mmoja ama mwingine watuonyeshe ubabe wao kwa kuchangia damu kwa wingi kadri iwezekananvyo. Wabunge, viongozi wa vyama, wanachama na washabiki washiriki zoezi hili kwa level mbalimbali.
SUNNI vs. SHIA,AHMADIYYA,BAKWATA etc huku nako mtanange kama kawa, tukumbuke mtanange huu una nia njema kabisa ya kuokoa uhai wa binadamu

CATHOLIC vs. LUTHERAN, SDA, PENTECOSTE, etc
Hapa naona waumini wa Kakobe watajaribu kuwapiku wa Mzee wa upako huku Mwingira akisomba waumini wake kwa mabasi ili kupata ushindi
NB: Ruksa kuwa na majeshi ya kukodi ili kushinda

MANJI vs. MANJI hawa nao watuonyeshe uwezo wao si kwenye ugomvi wa Yanga tu ama kuitana majina ....walete watu wa kutosha kuchangia Damu

UFISADI WA LOWASA
wale wasemao jamaa fisadi na wale wasemao si fisadi washindanishwe kwa utoaji damu watakaotoa nyingi zaidi wameshinda

UDIKTETA WA LAIS
Je lais ni dikteta ama sio? hatutaki mdomo, njooni kwa makundi kutoa damu tuone akina nani wameshinda

Tukitoka kwenye DAMU tutahamia kwenye upandaji miti

MBONA KWENYE MADAWATI IMEWEZEKANA..... TUSHINDANE KUMNUSUSRU MAMA TANZANIA
 
Kaka sory! Nimetoka kukomfirm assaivi hospital jirani apa kumbe ni 0+ not 0-...itafaaa?0757430630 PM inakataa coz ni new member
Mkuu bado unauhitaji wa damu yangu nadhani ni O+ kama inakufaa sema nijisogeze hindu mandal nipo city center
 
Ndugu zangu baba yangu ni mgonjwa sana yupo hindul mandal, tumeshahangaika kama familia kupata damu tumeshindwa!!! Nawaombeni ndugu zangu mnisaidie!!! 0714148504 plz mbarikiwe sana.
Mzee anaendeleaje hapo?
 
Mpe sukari gulu na maziwa ndani ya siku 3 utaniambia ? Nasikia hiyo ni kiboko
 
hilo group noma sana kuna jamaa yngu analo hilo group aliambiwa akikutana na mwanamke wa group km lake hawato zaa milele yaan damu hazichangamani pia wako wachache sana
 
Ingawa thread ni ya muda mrefu ila nimefuatilia mwanzo hadi mwisho, inasikitisha sana, Pole
Ni vyema ndugu/wanaukoo wakajuana groups zao in advance ili likitokea tatizo kama hili ni rahisi kulitatua coz groups ni za kurithi
 
Ingawa thread ni ya muda mrefu ila nimefuatilia mwanzo hadi mwisho, inasikitisha sana, Pole
Ni vyema ndugu/wanaukoo wakajuana groups zao in advance ili likitokea tatizo kama hili ni rahisi kulitatua coz groups ni za kurithi
Hawa watu huwa wana vikundi vya kutambua kila mkoa. Huwa inashauriwa kujiunga na hivyo vikundi pindi unapojigundua una damu ya hiyo aina.
 
Duuh! Hata mm Nina 0+ nipo tayr kumpa mtu yeyote bila hata sent ili tu kuokoa maisha yake,
 
Hata mimi nina O+. Ni vema kutambuana kwa kweli kwa watu wenye groups za damu moja hasa hawa wa O maana inasumbua sana kupata damu hiyo kutokana na uchache wetu!

Pole sana mkuu mleta uzi kwa kuuguliwa!
 
Back
Top Bottom