Nahitaji kufungua mgahawa, ambao utatoa huduma zifuatazo:
1. Juice fresh ya matunda, na ya miwa
2. Chipsi, na ndizi za kuchoma.
3. Mishaki na nyama ya kuchoma.
4. Supu ya samaki, mbuzi,maharagwe, ng'ombe ,kuku.
5. Chakula kama Ugali, Ndizi, Wali, NK.
6. Chai, na vitafunwa vyake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmh!
Kama location iko vizuri,utapiga pesa ya kutoshaNahitaji kufungua mgahawa, ambao utatoa huduma zifuatazo:
1. Juice fresh ya matunda, na ya miwa
2. Chipsi, na ndizi za kuchoma.
3. Mishaki na nyama ya kuchoma.
4. Supu ya samaki, mbuzi,maharagwe, ng'ombe ,kuku.
5. Chakula kama Ugali, Ndizi, Wali, NK.
6. Chai, na vitafunwa vyake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugai Vs CAG fast foodNahitaji kufungua mgahawa, ambao utatoa huduma zifuatazo:
1. Juice fresh ya matunda, na ya miwa
2. Chipsi, na ndizi za kuchoma.
3. Mishaki na nyama ya kuchoma.
4. Supu ya samaki, mbuzi,maharagwe, ng'ombe ,kuku.
5. Chakula kama Ugali, Ndizi, Wali, NK.
6. Chai, na vitafunwa vyake.
Sent using Jamii Forums mobile app