BL4 Fast FoodNahitaji kufungua mgahawa, ambao utatoa huduma zifuatazo:
1. Juice fresh ya matunda, na ya miwa
2. Chipsi, na ndizi za kuchoma.
3. Mishaki na nyama ya kuchoma.
4. Supu ya samaki, mbuzi,maharagwe, ng'ombe ,kuku.
5. Chakula kama Ugali, Ndizi, Wali, NK.
6. Chai, na vitafunwa vyake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app