Naomba msaada wa jina la biashara hii

Naomba msaada wa jina la biashara hii

anza na location then fastfood....mfano kama upo ubungo unaweza kusema ubungo fastfood.


binafsi nipo kwenye hatua za mwisho za mwisho za kufungua fastfood yangu na kwa jinsi nilivyojipanga najua nitapiga hela sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom