Nahitaji kufungua mgahawa, ambao utatoa huduma zifuatazo:
1. Juice fresh ya matunda, na ya miwa
2. Chipsi, na ndizi za kuchoma.
3. Mishaki na nyama ya kuchoma.
4. Supu ya samaki, mbuzi,maharagwe, ng'ombe ,kuku.
5. Chakula kama Ugali, Ndizi, Wali, NK.
6. Chai, na vitafunwa vyake.
Sent using
Jamii Forums mobile app