Naomba msaada wa jina la haya matunda na upatikanaji wa mimea yake kwa ajili ya kupanda

kacnia

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2014
Posts
4,024
Reaction score
15,796
Haya matunda nilibahatika kuyala nikiwa mdogo na wakati huo sikufanikiwa kujua hata yalikuwa yanaitwaje ila ninacho fahamu ni kwamba yana ladha nzuri sana ya utamu ambayo hauwezi kufananisha na matunda mengine.

Msaada wenu wakuu, nahitaji kupanda miti yake, ikiwezekana hata minne.

Natanguliza shukrani.


koboG Mshana Jr Mr IQ DullyJr Darmian Numbisa Smart Guy Tanayzer
 
Nikifumba macho jina linakuja nikifumbua ili niandike jina linapotea.
 
Nikifumba macho jina linakuja nikifumbua ili niandike jina linapotea.
meditate mkuu unisaidie kutimiza shauku yangu, nikijua hata jina ntakua nimepata pa kuanzia
 

napata wapi hapa tz mti wa haya matunda
 

Loquat​

It has also become naturalised in Georgia, Armenia, Afghanistan, Australia, Azerbaijan, Bermuda, Chile, Kenya, India, Israel, Iran, Iraq, South Africa, the whole Mediterranean Basin, Pakistan, New Zealand, Réunion, Tonga, Central America, Mexico, South America and in warmer parts of the United States (Hawaii, California, Texas, Louisiana, Mississippi, Alabama, Florida, Georgia, and South Carolina)



Jaribu kuulizia huko kwa majirani upate mbegu au miche kwa information kuhusu cultivation cheki hio link
 
kudos
ngoja nisubiri uwezekano wa kuupata hapa hapa kwenye ardhi iliyoombewa mvua na chief hagaya
 
Haya yanapatikana kwenye milima na sehemu za baridi .. Lushoto yako kwa wingi sana nikibatika kupata mtu anayekuja mjini nitamuomba anibebee mbegu
 
Nilikwenda Lushoto October- November mwaka jana nikayakuta yanauzwa kwa wingi sana hasa pale Soni (kama sijakosea jina). Wauzaji walisema yanaitwa SAMBIA. Kuhusu ukulima wake kwa kweli sijui japo nami pia nilitamani siku moja niwe na mashina mawili matatu kwenye yard
 
Haya yanapatikana kwenye milima na sehemu za baridi .. Lushoto yako kwa wingi sana nikibatika kupata mtu anayekuja mjini nitamuomba anibebee mbegu
shukrani sana, nasubiri mrejesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…