Naomba msaada wa jina la haya matunda na upatikanaji wa mimea yake kwa ajili ya kupanda

Naomba msaada wa jina la haya matunda na upatikanaji wa mimea yake kwa ajili ya kupanda

Nilikwenda Lushoto October- November mwaka jana nikayakuta yanauzwa kwa wingi sana hasa pale Soni (kama sijakosea jina). Wauzaji walisema yanaitwa SAMBIA. Kuhusu ukulima wake kwa kweli sijui japo nami pia nilitamani siku moja niwe na mashina mawili matatu kwenye yard
ukipata mbegu usinisahau na mimi mkuu
 
Hahahah huko Moshi tunaziita tangawizi miche yake imejaa kibao meyala sana
 
Back
Top Bottom